KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius!
Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!.
angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠
Na wengine...
Popular musician Patience Namadingo invoked biblical scripture on Thursday, challenging President Lazarus Chakwera to "show and not explain" his accomplishments during a presidential youth dialogue at Sanjika Palace, writes Winston Mwale.
"In the Bible, in the book of Luke chapter seven, verse...
Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora
1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi?
2. Watu wamepunguza kufanya ngono?
3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV?
4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu?
5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema?
Kwa uzoefu wangu...
Salamu wana jukwaa wenzangu.
Nauliza maswali gani huulizwa kwenye nafasi ya accounts officer ii taasisi ya Tanzania aviation authority. Tusaidieni, wengine ndio mara ya kwanza kuitwa interview hizi za taasisi za serikali.
Wakubwa, naomba kufahamu. Nimteuliwa kwenye usaili wa kazi ya kuandikisha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Naomba mbinu na ufahamu kuhusu aina ya maswali wanayouliza.
Nitashukuru.
Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha.
Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha...
Nadhani Kagame anawapa ufadhili wa silaha na wanajeshi ili kumsaidia Mtutsi mwenzake anayebaguliwa Congo.
Pia Nadhani, anawapa msaada waasi kwasababu Congo iliwaunga mkono waasi wa kihutu. Unaiunga mkono FDLR basi Nami nitawaunga mkono M23.
Sasa kama Kama ni kweli Rwanda inahusika
1. Kwanini...
Umoja wa Mataifa, Congo na Rwanda – Paul Kagame auliza maswali magumu
"Tumesikia kuhusu Walinda Amani Umoja wa Mataifa ndani ya Congo una zaidi ya miaka 30 sasa…"
— Paul Kagame...
Rais wa Rwanda anauliza, UN imekuwa Congo kwa miongo mitatu, lakini mgogoro hauishi. Kuna tatizo gani?
Kagame...
Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha ngumu ya kiingereza katika maswali yao, hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo kwa sababu...
Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya...
Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025.
Walimu wengi hawafahamu katika usaili...
1.hiki chama hakina wazee wakutuliza
hizi vurugu?
2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe?
3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa kama hawatahama chama, kuna kuaminiana tena?...
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?
Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Hellow Tanganyika!!
Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili.
Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
ENGLISH TEACHERS TANZANIA
As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test ,
it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are preferably to be assessed.
As an English teacher, you need to be familiar with a wide range of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.