maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Lema kuna ujumbe wako toka kwa Quinine. Alitegemea utoe majibu kwa maswali haya. Nanukuhu wito wa QUININE kwako. Anataka majibu

    Prelude..Quinine: Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi. Thread starter; Quinine Platinum Member Today at 7:52 Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma...
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

    Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ ya Plastiki yenye maji ya moto let say 30/35 au 40 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi. Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Harusi imebaki siku 3, send-off ikageuka msiba! hii story ya afrah ina maswali mazito

    Kuna matukio mengine ukisikia unajiuliza, ila unakosa majawabu. Nimekutana na story ya binti anayeitwa Afrah ambaye inadaiwa amefariki dunia zikiwa zimebaki siku tatu tu kabla ya harusi yake. Kwa mujibu wa taarifa , siku ya send-off akiwa ukumbini alianza kucheka cheka bila sababu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna scientific calculator mpya ambazo zina AI na zina connect na simu mpaka unaweza kuuliza maswali

    Nahisi nchi yetu hawa tuliowapa madaraka ni vilaza mpaka makosa wakigundua sio leo. Asilimia kubwa teknolojia zimewafanya wanafunzi kucheat sana na ndio maana matokeo ya ufahuru ni mkubwa kuliko matokeo ya nchi. Kuna scientific calculators mpya ambazo kiakili ya kawaida unaweza kuona inafanya...
  6. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Nikilitafakari taifa la Palestine, najiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu na uweza wake. Je, ni Mungu mwenye chuki au ni Mungu wa upendo?

    Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia. Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi. Je...
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

    Miss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema. Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee. Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu...
  8. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja: Mosi, Israeli na...
  9. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania WANAZI WA NDOA MJE MJIBU MASWALI YA KATAA NDOA

    1.Akili gani mnatumia kusema mnaoa ili mkizeeka mpate wa kuwatoa nje juani na kuwarudushi kwenye vichuguu vyenu. 2.Mahesabu ya wapi yanasema kwamba ukiumwa lazima akuhudumie mkeo.Hivi mnahisi nyuchi zenu zina kipi ambacho binadamu wengine hawana mpaka mkatae kuhudumiwa kisa aibu za kijinga...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    1. Alipata wapi internet na kwa muda gani? Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo. 2. Alipata muda gani wa kufanya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada

    Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar. Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi. Mahitaji yangu: Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights. Njia gani ni...
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Maisha haya kosi maswali wapi ulipopata taarifa.

    Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu. Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio. Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo. Ilipokuja internet nalo swali linakuja umeyatolea kwenye mitandao. Imekuja AI bado wanauliza lile lile swali. Sasa wewe...
  14. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama Kweli Unajua Kiingereza, Tuambie Umepata Alama Ngapi Kwenye Maswali Haya ya Kiingereza. Marks Ulizopata Tuwekee Kwenye Comment.

    Habari za muda huu wana-JF, Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli. Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  17. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Huyu ndie mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kujibu maswali ya waandishi

    Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini? Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wakili Komba: Maswali ya Wakili wa Serikali Mkuu Katuga, kwa Heche yamedhalilisha taaluma ya sheria

    Mwanasheria maarufu, Aloyce Komba ametoa maoni yake kuhusu maswali ya dodoso yaliyofanywa na mawakili wa Serikali wakuu, akiwamo Wakili Nassoro Katuga. Haya ndio maelezo yake: 1. Ilidhalilisha taaluma ya sheria kwani ilikusanya maswali mengi ya umbea wa kisiasa na maisha binafsi ya shahidi...
  19. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Maswali matano kwa Godbless Lema

    Nani alimtuma kuandika ujumbe kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alitoa salamu za rambirambi kwa Rais Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na mumewe, Hafid Ameir? Hata kama kweli Lissu alimuuliza Makamu Mwenyekiti wa chama hicho wa Zanzibar, Said Mzee Said, kulikuwa na haja gani ya ku hype hizo...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
Back
Top Bottom