Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Salaam,

Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu.

Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo.

1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza maswali uwajibu Majaji kwa sauti huku ukiwaangalia.

Kutokana na Teknolojia, Kitengo cha JWTZ kinatumia mitandao ya kijamii kukusanya taarifa?

2. Tundu Lissu: Afande CDF, JWTZ ina kurasa za mitandao ya kijamii ambazo zinatumika kusambaza habari na kupokea habari?

3. Tundu Lissu: Afande unatumia Mitandao ya kijamii? Inakusaidia kupitia taarifa za kijamii kama uteuzi, matukio nk?

4. Tundu Lissu: Je unamfahamu Kapteni John Charles Tesha?

5. Tundu Lissu: Afannde CDF Unamjua mzee Butiku wa kigoda cha Mwalimu Nyerere?

6. Tundu Lissu: Je Butiko kusema Jeshi lisiingiziwe kwenye siasa, unasemaje?

7.Tundu Lissu: Unamuunga mkono kuitisha Press na kumuongelea Kapteni Tesha bila kukushirikisha?

8.Tundu Lissu: Uliona kwenye mitandao alichokisema Kapteni John Charles Tesha wa JWTZ kwenye press ya tamko lake la tarehe 4 Oktoba 2025?

9.Tundu Lissu: Je, JWTZ ilikubaliana naye au kukanusha habari alizotoa?

10.Tundu Lissu: Tesha ilikuwa ni jukumu lake kutoa malalamiko kuhusu hali ya kisiasa na uchaguzi mkuu wa 2025.

11.Tundu Lissu: Unaijua katiba? Ulishaisoma? Afande Tesha alivunja Katiba?

12.Tundu Lissu: Je, uchaguzi uliofanyika 29 Oktoba 2025 ulikuwa na matatizo yoyote?

13. Tundu Lissu: Nilisikia ukisema Nchini kwetu hakuna ugaidi. Hapa upo chini ya kiapo, iambie mahakama kama kuna magaidi zaidi ya 56 walikamatwa.

14. Wakiliwa Serikali: mheshimiwa Jaji, Hilo swali la ugaidi lipo mahakamani, halihusiani kutokana na vifungu vya sheria kukataza.

15: Jaji Ndunguru: Mshitakiwa endelea

16:Tundu Lissu: Asante, Sasa CDF, iambie Mahakama kama wewe unateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

17:Tundu Lissu: Vyombo vya dola vinashiriki kwenye uchaguzi?

18.Tundu Lissu: Je, vyama vya Siasa hasa vya upinzani vimekuwa na wasiwasi kuhusu namna polisi na vyombo vingine vya dola vingeshughulikia maandamano na wapinzani?

19.Tundu Lissu: Je, ulishamwambia aliyekuteua kuhusu hayo malalamiko ambayo yamebeba Hali ya usalama nchini?

20:Tundu Lissu: Je Kapt Tesha alionya kwamba hali ya kutokutenda haki inaweza kusababisha mgogoro mkubwa ikiwa wananchi hawatasikilizwa?

21.Tundu Lissu: Una akili timamu? naomba tuheshimiane, jibu swali langu.

Jaji nduguru, Shahidi jibu maswali unayoulizwa

22. Tundu Lissu: Ulipata taarifa au ulishawahi kusoma au kumsikia sehemu yoyote Luteni Denis Urio ambaye ni ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) toka kikosi cha makomando kilichopo Ngerengere, Morogoro?

22.Tundu Lissu: Sasa turudi kwenye Elimu, kazi na nyazifa ambazo umewahi kupata.. Kumbuka upo chini ya kiapo. Umesoma hadi kiwango gani?

23.Wakili wa Serikali Katuga: Mheshimiwa hakimu sasa ni saa saba kkasoro, Health break.

24 Jaji Ndugu: Mshitakiwa unasemaje?

24 Tundu Lissu: Sawa tu, ila naomba turudi saa nane na nusu nipate wasaa wa kumuandaa Shaidi wangu CDF.

Mahakama ni Mapumziko. Tukutane baadaye.

Gonga like.
 
Salaam,

Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu.
Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini Beana afande atakutana nayo.

1. Tundu Lissu: Afande CDF, Kutokana na Teknolojia, Kitengo cha JWTZ kinatumia mitandao ya kijamii kukusanya taarifa?

2. Tundu Lissu: Afande CDF, JWTZ ina kurasa za mitandao ya kijamii ambazo zinadaidia kusambaza habari na kupokea habari?

3. Tundu Lissu: Afande unatumia Mitandao ya kijamii? Au kupitia taarifa za mitandao ya kijamii kama uteuzi taarifa nk?

4. Tundu Lissu: Je unamfahamu Kapteni John CTundu Lissu:harles Tesha

5. Tundu Lissu: Afannde CDF Unamjua mzee Butiku wa kigoda cha Mwalimu Nyerere?

6. Tundu Lissu: Je ni kweli Butiko kusema Jeshi lisiingiziwe kwenye siasa, unasemaje?

7.Tundu Lissu: Unamuunga mkono kuitisha Press na kumuongelea Kapteni Tesha bila kukushirikisha?

8.Tundu Lissu: Uliona kwenye mitandao alichokisema Kapteni John Charles Tesha wa JWTZ kwenye press ya tamko lake la tarehe 4 Oktoba 2025?

9.Tundu Lissu: Je, JWTZ ilikubaliana naye au kukanusha habari alizotoa?

10.Tundu Lissu: Jesha ilikuwa ni jukumu lake kutoa malalamiko kuhusu hali ya kisiasa na uchaguzi mkuu wa 2025.

11.Tundu Lissu: Unaijua katiba? Ulishaisoma? Afande Tesha alivunja Katiba?

12.Tundu Lissu: Je, uchaguzi uliofanyika. kufanyika 29 Oktoba 2025 ulikuwa na matatizo yoyote?

13. Tundu Lissu: Nilisikia ukisema Nchini kwetu hakuna ugaidi. Hapa upo chini ya kiapo, iambie mahakama kama kuna magaidi zaidi ya 56 walikamatwa.

14.Tundu Lissu: Wakiliwa Serikali: mheshimiwa Jaji, Hilo swali la ugaidi lipo mahakamani, halihusiani kutokana na vifungu vua sheria kukataza.

15:Tundu Lissu: Mshitakiwa endelea

16:Tundu Lissu: Tundu Lissu: Asante, Sasa CDF, iambie Mahakama kama wewe unateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

17:Tundu Lissu: Vyombo vya dola vinashiriki kwenye uchaguzi?

18.Tundu Lissu: Je, vyama vya Siasa hasa vya upinzani vimekuwa na wasiwasi kuhusu namna polisi na vyombo vingine vya dola vingeshughulikia maandamano na wapinzani?

19.Tundu Lissu: Je, ulishamwambia aliyekuteua kuhusu hayo malalamiko ambayo yamebeba Hali ya usalama nchini?

20:Tundu Lissu: Je Kapt Tesha alionya kwamba hali ya dila kutokutenda haki inaweza kusababisha mgogoro mkubwa ikiwa wananchi hawatasikilizwa?

21.Tundu Lissu: Una akili timamu? naomba tuheshimiane, jibu swali langu.

Jaji nduguru, Shahidi jibu maswali unayoulizwa

22. Tundu Lissu: Ulipata taarifa au ulishawahi kusoma au kumsikia sehemu yoyote Luteni Denis Urio ambaye ni ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) toka kikosi cha makomando kilichopo Ngerengere, Morogoro?

22.Tundu Lissu: Sasa turudi kwenye Elimu, kazi na nyazifa ambazo umewahi kupata.. Kumbuka upo chini ya kiapo. Umesoma hadi kiwango gani?
23.Wakili wa Serikali Katuga: Mheshimiwa hakimu sasa ni saa saba kkasoro, Health break.
24 Jaji Ndugu: Mshitakiwa unasemaje?
24 Tundu. Lissu: Sawa tu, ila naomba turudi saa nane na nusu nipate wasaa wa kumuandaa Shaidi wangu CDF.

Nasubiri kwa hamu sana hao mashahidi waje wapigwe maswali
 
Jamani tunasubiri CDF,DCI & IGP kwa hamu kizimbani
 
Lissu alishasema hana cha kupoteza hivyo CDF na IGP watakutana na maswali ya kuonesha umma uwezo wao kama bado wanastahili kuwa sehemu ya viongozi wa UMMA.

Magenerali wengine watakaa kwenye social media wakifuatilia majibu ya 4 star wao anavyobabaika kuelezea UMMA Jeshi linavyotekeleza majukumu yako.
CDF na IGP wana machaguo mawili tu
1. Wagome kwenda mahakamani ili waletwe na pingu au
2. Wafute Kesi

Tofauti na hapo hawapo tayari kuona wakishindwa kutafsiri majukumu ya taasisi zao.
 
….Ikiwa shahidi anatoa ushahidi unaopingana na kile upande uliomleta ulivyotarajia, anakataa ukweli muhimu, au anaonekana kuwa na uadui/hataki kushirikiana, upande unaweza kuiomba mahakama imtambue kama hostile witness.

Mahakama ikiridhika, inaweza kuruhusu cross-examination ya shahidi huyo, ikiwemo kuuliza maswali ya kuongoza (leading questions) na kumkabili kuhusu kauli au ushahidi wake unaopingana….”

Mkundaaaa na Kingaaaai wajipange
 
Kwa ujinga kabla ya uamuzi wa mahakama I thought shahidi ili awe shahidi wako lazima umwombe na akubali kwa hiari yake.

Kumbe bwana mahakama inayo mamlaka ya kumlazimisha yeyote bila hiari yake awe shahidi wa yeyote as long hoja imejengwa! Nimejifunza kitu.
 
Back
Top Bottom