Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

Hao ndio wanasubiriwa na dunia nzima wakatoe ushahidi, wasipoenda watafedheheshwa na kuonekana hawafai katika nyadhifa hizo. Bora waende tu wakaulizwe maswali watajibu wanavyojua
 
Hao ndio wanasubiriwa na dunia nzima wakatoe ushahidi, wasipoenda watafedheheshwa na kuonekana hawafai katika nyadhifa hizo. Bora waende tu wakaulizwe maswali watajibu wanavyojua
Hii case imefikia a very critical point. Mashahidi walioitwa wakisimama nchale, wakikaa nchale, wakinyamaza nchale, wakiongea nchale, kesi ikifutwa nchale. Jaji akihukumu in favour of CCM nchale.
The bottomline hii case ni game changer kwa siasa za Tanzania
 
Mleta mada anasahau kuwa hawa ni mashahidi wa "Utetezi", siyo mashahidi wa Jamhuri.

Maswali yote aliyopendekeza yeye hayana tafakuri; kaweka tu yaliyokuwa yanamuijia akilini.
sawa, hao mashahidi ni watu wa jamhuri, sasa watakuwaje wa upande wa mshitakiwa? Watamtetea vipi wakati hao hao wanalalamikiwa?
 
Ila hii imeonyesha watu wa CCM ni wajinga sana.
Huwezi kuamini hii kesi haiko live... Ila inafuatiliwa na watu wengi sana kwenye mitandao..
Nilistuka kuambiwa hata vigogo wanafuatilia sana...yaani ni zaidi ya darasa...
Nafikiri hii kesi italeta mabadiliko sana kwenye mifumo yetu..

Fikiria swali lije kwa IGP
Lissu- Waeleze Majaji unajua kwamba Polisi wa ngazi ya chini wanavuruga Uchaguzi kwa kuingiza kura feki vituoni ?

IGP- sijui

Lissu- Utakuwa IGP wa hovyo wewe.. hujui hata yanayoendelea ndio maana watu wanatekwa na hamna uwezo wa kujua wako wapi...

Katuga- Jamani Lissu anamuhaibisha IGP

Lissu- Katuga acha kiherehere ...tuna IGP kilaza....

Mimi sijui huo mpambano utakuwaje
 
Salaam,

Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu.

Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo.

1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Kutokana na Teknolojia, Kitengo cha JWTZ kinatumia mitandao ya kijamii kukusanya taarifa?

2. Tundu Lissu: Afande CDF, JWTZ ina kurasa za mitandao ya kijamii ambazo zinatumika kusambaza habari na kupokea habari?

3. Tundu Lissu: Afande unatumia Mitandao ya kijamii? Inakusaidia kupitia taarifa za kijamii kama uteuzi, matukio nk?

4. Tundu Lissu: Je unamfahamu Kapteni John Charles Tesha?

5. Tundu Lissu: Afannde CDF Unamjua mzee Butiku wa kigoda cha Mwalimu Nyerere?

6. Tundu Lissu: Je Butiko kusema Jeshi lisiingiziwe kwenye siasa, unasemaje?

7.Tundu Lissu: Unamuunga mkono kuitisha Press na kumuongelea Kapteni Tesha bila kukushirikisha?

8.Tundu Lissu: Uliona kwenye mitandao alichokisema Kapteni John Charles Tesha wa JWTZ kwenye press ya tamko lake la tarehe 4 Oktoba 2025?

9.Tundu Lissu: Je, JWTZ ilikubaliana naye au kukanusha habari alizotoa?

10.Tundu Lissu: Jesha ilikuwa ni jukumu lake kutoa malalamiko kuhusu hali ya kisiasa na uchaguzi mkuu wa 2025.

11.Tundu Lissu: Unaijua katiba? Ulishaisoma? Afande Tesha alivunja Katiba?

12.Tundu Lissu: Je, uchaguzi uliofanyika 29 Oktoba 2025 ulikuwa na matatizo yoyote?

13. Tundu Lissu: Nilisikia ukisema Nchini kwetu hakuna ugaidi. Hapa upo chini ya kiapo, iambie mahakama kama kuna magaidi zaidi ya 56 walikamatwa.

14. Wakiliwa Serikali: mheshimiwa Jaji, Hilo swali la ugaidi lipo mahakamani, halihusiani kutokana na vifungu vya sheria kukataza.

15: Jaji Ndunguru: Mshitakiwa endelea

16:Tundu Lissu: Tundu Lissu: Asante, Sasa CDF, iambie Mahakama kama wewe unateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

17:Tundu Lissu: Vyombo vya dola vinashiriki kwenye uchaguzi?

18.Tundu Lissu: Je, vyama vya Siasa hasa vya upinzani vimekuwa na wasiwasi kuhusu namna polisi na vyombo vingine vya dola vingeshughulikia maandamano na wapinzani?

19.Tundu Lissu: Je, ulishamwambia aliyekuteua kuhusu hayo malalamiko ambayo yamebeba Hali ya usalama nchini?

20:Tundu Lissu: Je Kapt Tesha alionya kwamba hali ya kutokutenda haki inaweza kusababisha mgogoro mkubwa ikiwa wananchi hawatasikilizwa?

21.Tundu Lissu: Una akili timamu? naomba tuheshimiane, jibu swali langu.

Jaji nduguru, Shahidi jibu maswali unayoulizwa

22. Tundu Lissu: Ulipata taarifa au ulishawahi kusoma au kumsikia sehemu yoyote Luteni Denis Urio ambaye ni ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) toka kikosi cha makomando kilichopo Ngerengere, Morogoro?

22.Tundu Lissu: Sasa turudi kwenye Elimu, kazi na nyazifa ambazo umewahi kupata.. Kumbuka upo chini ya kiapo. Umesoma hadi kiwango gani?

23.Wakili wa Serikali Katuga: Mheshimiwa hakimu sasa ni saa saba kkasoro, Health break.

24 Jaji Ndugu: Mshitakiwa unasemaje?

24 Tundu. Lissu: Sawa tu, ila naomba turudi saa nane na nusu nipate wasaa wa kumuandaa Shaidi wangu CDF.

Mahakama ni Mapumziko. Tukutane baadaye.

Gonga like.
wewe kilaza kweli mbona haya maswali yako ni ya cross examination? Kumbuka wale niashahidi wake yeye anawaongoza tuu Kwa examination in chief na kwenye re axamination. Hivyo hayo maswali sio yake
 
What has this nonsense (witnesses) got to with disproving the ‘men’s rea’ and ‘actus reus’ of the case.

It’s just pathetic
 
Back
Top Bottom