Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

Wewe hujui Sheria...

Unajua maana ya neno hostile witness?

Shahidi wako akikataa Kwenda na muongozo wako anabadilika kuwa shahidi adui...
Hivyo Lissu anaiomba Mahakama afanye cross examination
Wewe ndio kilaza kabisa

▪️ SHAHIDI ku ku turn hostile ni kwa yule shahidi ambaye maelezo yake yaliyokwosha kurekodiwa kabla na anapokuja mahakamani ama kwa kushawishiwa , kutisshwa ama nyia nyonene anaeleza kitu tofauti kabisa na kile ambacho alishakieleza kabla. Sasa Hawa ni Mashahidi wa kutoa ushahidi wa papo kwa papo. Utawa treaty vipi kama hostile witness ? Hata hivyo ni discretion ya bahakama kukubali kutoa kibali Cha kum cross examine SHAHIDI wako mwenyewe. Kingine Lisu hana ufundi mzuri wa kufanya cross examination kama walivyo akina kibatala. Ni mzuri kwenye mambo mengine lakini zile logic za cross examination za kucheza kama draft unapewa kete unakula halafu baadaye jamaa anapiga mpaka kingi Hana. Anazidiwabali Sana na KATUGA kwenye kipande hicho. Hapo inakuja umuhimu wa kuwa na Wakili hata kama wewe ni wakili
 
Kibatala alikuwa Afisa wa Polisi kabisa yule, nadhani Lissu aliona ni sawa ampumzishe Kibatala kutokana na majukumu ambayo Kibatala anaweza akawa nayo.
 
Wewe ndio kilaza kabisa

▪️ SHAHIDI ku ku turn hostile ni kwa yule shahidi ambaye maelezo yake yaliyokwosha kurekodiwa kabla na anapokuja mahakamani ama kwa kushawishiwa , kutisshwa ama nyia nyonene anaeleza kitu tofauti kabisa na kile ambacho alishakieleza kabla. Sasa Hawa ni Mashahidi wa kutoa ushahidi wa papo kwa papo. Utawa treaty vipi kama hostile witness ? Hata hivyo ni discretion ya bahakama kukubali kutoa kibali Cha kum cross examine SHAHIDI wako mwenyewe. Kingine Lisu hana ufundi mzuri wa kufanya cross examination kama walivyo akina kibatala. Ni mzuri kwenye mambo mengine lakini zile logic za cross examination za kucheza kama draft unapewa kete unakula halafu baadaye jamaa anapiga mpaka kingi Hana. Anazidiwabali Sana na KATUGA kwenye kipande hicho. Hapo inakuja umuhimu wa kuwa na Wakili hata kama wewe ni wakili
Wewe ni bwege

Ngoja niishie hapa
 
Salaam,

Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu.

Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo.

1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza maswali uwajibu Majaji kwa sauti huku ukiwaangalia.

Kutokana na Teknolojia, Kitengo cha JWTZ kinatumia mitandao ya kijamii kukusanya taarifa?

2. Tundu Lissu: Afande CDF, JWTZ ina kurasa za mitandao ya kijamii ambazo zinatumika kusambaza habari na kupokea habari?

3. Tundu Lissu: Afande unatumia Mitandao ya kijamii? Inakusaidia kupitia taarifa za kijamii kama uteuzi, matukio nk?

4. Tundu Lissu: Je unamfahamu Kapteni John Charles Tesha?

5. Tundu Lissu: Afannde CDF Unamjua mzee Butiku wa kigoda cha Mwalimu Nyerere?

6. Tundu Lissu: Je Butiko kusema Jeshi lisiingiziwe kwenye siasa, unasemaje?

7.Tundu Lissu: Unamuunga mkono kuitisha Press na kumuongelea Kapteni Tesha bila kukushirikisha?

8.Tundu Lissu: Uliona kwenye mitandao alichokisema Kapteni John Charles Tesha wa JWTZ kwenye press ya tamko lake la tarehe 4 Oktoba 2025?

9.Tundu Lissu: Je, JWTZ ilikubaliana naye au kukanusha habari alizotoa?

10.Tundu Lissu: Tesha ilikuwa ni jukumu lake kutoa malalamiko kuhusu hali ya kisiasa na uchaguzi mkuu wa 2025.

11.Tundu Lissu: Unaijua katiba? Ulishaisoma? Afande Tesha alivunja Katiba?

12.Tundu Lissu: Je, uchaguzi uliofanyika 29 Oktoba 2025 ulikuwa na matatizo yoyote?

13. Tundu Lissu: Nilisikia ukisema Nchini kwetu hakuna ugaidi. Hapa upo chini ya kiapo, iambie mahakama kama kuna magaidi zaidi ya 56 walikamatwa.

14. Wakiliwa Serikali: mheshimiwa Jaji, Hilo swali la ugaidi lipo mahakamani, halihusiani kutokana na vifungu vya sheria kukataza.

15: Jaji Ndunguru: Mshitakiwa endelea

16:Tundu Lissu: Asante, Sasa CDF, iambie Mahakama kama wewe unateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

17:Tundu Lissu: Vyombo vya dola vinashiriki kwenye uchaguzi?

18.Tundu Lissu: Je, vyama vya Siasa hasa vya upinzani vimekuwa na wasiwasi kuhusu namna polisi na vyombo vingine vya dola vingeshughulikia maandamano na wapinzani?

19.Tundu Lissu: Je, ulishamwambia aliyekuteua kuhusu hayo malalamiko ambayo yamebeba Hali ya usalama nchini?

20:Tundu Lissu: Je Kapt Tesha alionya kwamba hali ya kutokutenda haki inaweza kusababisha mgogoro mkubwa ikiwa wananchi hawatasikilizwa?

21.Tundu Lissu: Una akili timamu? naomba tuheshimiane, jibu swali langu.

Jaji nduguru, Shahidi jibu maswali unayoulizwa

22. Tundu Lissu: Ulipata taarifa au ulishawahi kusoma au kumsikia sehemu yoyote Luteni Denis Urio ambaye ni ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) toka kikosi cha makomando kilichopo Ngerengere, Morogoro?

22.Tundu Lissu: Sasa turudi kwenye Elimu, kazi na nyazifa ambazo umewahi kupata.. Kumbuka upo chini ya kiapo. Umesoma hadi kiwango gani?

23.Wakili wa Serikali Katuga: Mheshimiwa hakimu sasa ni saa saba kkasoro, Health break.

24 Jaji Ndugu: Mshitakiwa unasemaje?

24 Tundu Lissu: Sawa tu, ila naomba turudi saa nane na nusu nipate wasaa wa kumuandaa Shaidi wangu CDF.

Mahakama ni Mapumziko. Tukutane baadaye.

Gonga like.
Hapo kwenye kumuandaa kwa ajili ya round ya pili walinzi wake wanapashwa kuwepo?
 
Back
Top Bottom