Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

Ukiwa mwanasheria mzuri mjanja unaweza kumgeuza adui yako akawa shahidi wako kupitia maswali tena ukimuongoza mwenyewewe (dci na igp wapo upande wa washtaki ila jamaa sijui amewavutaje kua upande wake)
 
Ndio maana yake...

Yaani IGP na wengine waendane na Lissu na sio vinginevyo...

Yaa IGP ataulizwa Mimi Lissu ni raia mwema... IGP anajibu ndio

Mimi nimeshwahi kutaka kupindua nchi..IGP inabidi ajibu kulingana na swali ambapo atasema Hapana...

Sasa hapo IGP ataendelea kumtetea..akienda tofauti akasema ulitaka kupindua nchi... Hapo anaiomba Mahakama kwamba huyu ni adui naomba nifanye dodoso (cross examination) ambayo ni hatari zaidi... Yatakuja mambo ya una akili timamu...kaza sauti... Acha kiherehere..wewe ni mpumbavu nk nk
ooooh kumbe yale maswali ya ku mprovoke mtu huwa yako kwenye session ya cross examinations ,na sio mwanzo pale ? kudadeki huu mtego , kwa mtazamo wako ipi njia nzuri waende na lisu au wamkane ?
 
Hapo sijui watafanyaje...

Maana Lissu atawaongoza anavyojua yeye... Hasa mambo ya kwenye mashitaka... Kuhusu kuzuia Uchaguzi...na mengine...
Yaani IGP ataulizwa kuzuia Uchaguzi ni kosa .. yeye labla atasema ni kosa ..Lissu atamwambia naomba kifungu Cha Sheria..
Kwamba nitakinukisha... IGP labda aseme sijui...maana Lissu atampa Kamusi
Kuhusu Uasi atapewa kamusi asome mbele ya Majaji...

Ndio maana ya kuwa Shahidi...yaani Lissu atamuongoza ili ajibu Yale anayotaka
 
😂😂😂😂
 
Naomba hao wahusika waje kizimbani, wasisingizie uzuru, hawataeleweka.
 
hahahahaha,kumbe ndio hivyo ? means Lisu atawaongoza kwenye ile hati ya mashtaka inavyosema na uhaini kwa ujumla ,kisha wao wamtete kuwa sio mhaini
Kabla ya hapo LISSU anaweza akaanza kuwauliza maswali ya BASIC, kwamba shahidi huyo anamjuaje LISSU, hapo ndipo yatafukulliwa hadi yale makaburi ya LISSU kupigwa risasi, baada ya hapo atauliza maswali yale maneno yake ni uhaini wa kiserikali au wa kikatiba? Sasa hapo pia atahamia kuuliza maswali ya machafuko yote yaliyowahi kutokea kabla na baada ya uchaguzi mwaka jana, hapo mahakama itatafsiri Je, maneno yale ya LISSU yalikuwa ni kupigania KATIBA au ni Kuangusha serikali.Kumbuka hadi sasa kete zipo vyema kwa LISSU kwa sababu alisema Katiba ni mbovu kwa free and fair election, na hii ndio ikazaa majanga ya mwaka jana.

Pili, kesi za uhaini ni nzito sana sababu zinajumuisha watu waliojipanga na wenye mizizi ya kuangusha serikali na sio mwanasiasa muongeaji tu kama LISSU ambae yamkini hata silaha hana, wala kikundi cha mapigano au mizizi mikubwa ndani ya serikali.

Nimeamua nikujibu sababu naona toka juu unatapatapa mkuu.
 
ooooh kumbe yale maswali ya ku mprovoke mtu huwa yako kwenye session ya cross examinations ,na sio mwanzo pale ? kudadeki huu mtego , kwa mtazamo wako ipi njia nzuri waende na lisu au wamkane ?
Ukienda na LISSU maana yake umemrahishia saana kesi yake kuwa yeye sio MHAINI. Kumbuka huyo KINGAI na IGP ndio waendeshaji wakuu wa makosa hayo ya JINAI nchini, idara ya makosa hayo ipo chini ya KINGAI na IGP ndio Boss wake. CDF ana vipengele vyake vizito sana, nafikiri huyu ndio anaweza akaisikitisha nchi zaidi zaidi hasa kwa makamanda wenzake.
 
Hapo sijui watafanyaje...

Maana Lissu atawaongoza anavyojua yeye... Hasa mambo ya kwenye mashitaka... Kuhusu kuzuia Uchaguzi...na mengine...
Yaani IGP ataulizwa kuzuia Uchaguzi ni kosa .. yeye labla atasema ni kosa ..Lissu atamwambia naomba kifungu Cha Sheria..
Kwamba nitakinukisha... IGP labda aseme sijui...maana Lissu atampa Kamusi
Kuhusu Uasi atapewa kamusi asome mbele ya Majaji...

Ndio maana ya kuwa Shahidi...yaani Lissu atamuongoza ili ajibu Yale anayotaka
kwa namna yoyote ile hawa maaskari kusimama mbele ya LISSU ni hatari kwao, kuna muda hadi nawaza, au JAJI kaamua tu kuwaita hawa ili kuimaliza hii kesi kwamba LISSU hana hatia, au yamkini wameitwa ili DPP aje aseme hana haja ya kuendelea na kesi hii, pengine JAJI ameamua kutumia vyema sheria kwa kuwaita hawa ili kulinda heshima yake na taaluma yake na kutaka walau watu wajue nini hasa kilichotokea, mimi naona kuna kitu kinachoendelea kwa kuitwa kwa hawa majamaa mahakamani.
 
Ngoja tusubiri
 
Kabla ya hapo LISSU anaweza akaanza kuwauliza maswali ya BASIC, kwamba shahidi huyo anamjuaje LISSU, hapo ndipo yatafukulliwa hadi yale makaburi ya LISSU kupigwa risasi, baada ya hapo atauliza maswali yale maneno yake ni uhaini wa kiserikali au wa kikatiba? Sasa hapo pia atahamia kuuliza maswali ya machafuko yote yaliyowahi kutokea kabla na baada ya uchaguzi mwaka jana, hapo mahakama itatafsiri Je, maneno yale ya LISSU yalikuwa ni kupigania KATIBA au ni Kuangusha serikali.Kumbuka hadi sasa kete zipo vyema kwa LISSU kwa sababu alisema Katiba ni mbovu kwa free and fair election, na hii ndio ikazaa majanga ya mwaka jana.

Pili, kesi za uhaini ni nzito sana sababu zinajumuisha watu waliojipanga na wenye mizizi ya kuangusha serikali na sio mwanasiasa muongeaji tu kama LISSU ambae yamkini hata silaha hana, wala kikundi cha mapigano au mizizi mikubwa ndani ya serikali.

Nimeamua nikujibu sababu naona toka juu unatapatapa mkuu.
ahsante Mkuu kwa ufafanuzi ,nasubiri kwa hamu zamu yao
 
kwa namna yoyote ile hawa maaskari kusimama mbele ya LISSU ni hatari kwao, kuna muda hadi nawaza, au JAJI kaamua tu kuwaita hawa ili kuimaliza hii kesi kwamba LISSU hana hatia, au yamkini wameitwa ili DPP aje aseme hana haja ya kuendelea na kesi hii, pengine JAJI ameamua kutumia vyema sheria kwa kuwaita hawa ili kulinda heshima yake na taaluma yake na kutaka walau watu wajue nini hasa kilichotokea, mimi naona kuna kitu kinachoendelea kwa kuitwa kwa hawa majamaa mahakamani.
hilo alisema toka mwanzo kuwa wana establish case hii kuona ni namna gani upande wa mashtaka unaeza kumtia hatiani mshatakiwa na mshtakiwa ni namna gani naeza jitetea,sasa labda kuwaita hawa ndio alitaka kuona sasa hii kesi ina uthibitisho upi wa uhaini bila mashaka
 
Back
Top Bottom