WANAZI WA NDOA MJE MJIBU MASWALI YA KATAA NDOA

WANAZI WA NDOA MJE MJIBU MASWALI YA KATAA NDOA

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
1.Akili gani mnatumia kusema mnaoa ili mkizeeka mpate wa kuwatoa nje juani na kuwarudushi kwenye vichuguu vyenu.

2.Mahesabu ya wapi yanasema kwamba ukiumwa lazima akuhudumie mkeo.Hivi mnahisi nyuchi zenu zina kipi ambacho binadamu wengine hawana mpaka mkatae kuhudumiwa kisa aibu za kijinga.

3.Mnajua kuwa ukileta mtoto duniani lazima umuachie urithi???
Nyie mmejipangaje kuwaachia watoto wenu urithi gani wa maana ili waendeleze ukoo wako??, elimu sio urithi huo ni wajibu kwasababu hukulazimishwa kumzaa huyo mtoto ni uwezo wako mdogo wa kufikiri na uliamua mwenyewe kufata mkumbo ndio kinakusumbua.

Kumlea mtoto ni wajibu wala sio hisani ni wajibu. Hukulazimishwa kuzaa hovyo na ndio manaa usipolea mkojo wako mpaka serikali itakutafuta ikushurutishe.

4.Swala la kuendeleza kizazi ni issue sensitive sana haipaswi kila mwenye uchi azae hovyo laxima kuwe na control na pawepo ulazima watu wafanye selection.Huu ujinga wa kuzaliana hovyo ndio unafanya matahira yanazaana na inakuwa ngumu kutokomeza ujinga.

Mfano dunia labda inauhitaji wa watu elfu moja.Mnaamua wale wenye IQ kubwa na wenye DNA zenye resistance na magonjwa na uwezo wa kusurvive ndio pekee wajamiiane na kuzalisha kizazi productive and needed.


Sheria zitungwe na zilazimishwe kufatwa binadamu mbao ni manamba kwao iwe marufuku kujamiaana(wafungwe vizazi) na kuleta matatazo ambayo leo ndo tunaona watu wanazaa hovyo watoto wanakosa malazi,mavazi na wanajikuta wanaishia kuwa machinga,ombaomba,makahaba na wezi,na binadamu waishio chini ya dola moja.

Hawa watu wanaoteseka leo hii duniani wengi ni matokeo ya hii experiment ya kuitwa NDOA.NDOA IS A WHITE ELEPHANT PROJECT!!!

Nawasubiri mlete hoja zenye mashiko.Msije na hoja za kupikiwa sijui kufuliwa hayo ni majukumu ambayo mtu timamu anatakiwa awe anaweza kuyatekeleza!!!
 
Huwezi kuelewa umuhimu wa ndoa kama umelelewa kwenye kituo cha watoto yatima au umelelewa na bibi.

Ndoa ni takatifu. Ndoa ni sakramenti. Ndoa ni taasisi.
 
Huwezi kuelewa umuhimu wa ndoa kama umelelewa kwenye kituo cha watoto yatima au umelelewa na bibi.

Ndoa ni takatifu. Ndoa ni sakramenti. Ndoa ni taasisi.
Toa ujinga uliolishwa huko kwenye dini za kuletewa.

Sacramenti ndo upuuzi gani tumia akili hata kidogo kwanini uishi kwa script acha kuwa zoba wake your ass up!!!

Jibu hoja usije na soga za dhahania ,utakatifu unatoka wapi huku watoto wa maskini mnaowakokota waige perpertuation ya wenyenacho ndio wanaoumia( wanatuzalishia machinga,mafukara,wezi,malaya na mafisadi)???Hivi huko ustairs mmebeba mabox au akili🤔
 
Mfano ukiugua binti yako ndio aje akuoshe ukiwa uchi?
Kwani wewe uboho wako unavichwa vingapi.Kiasi kwamba unauficha sana. Hivi ulishaenda mochuari,wewe huna cha zaidi hizo sifa na kujimwambafai is while ukiwa mzima.Ukiumwa wewe ni takataka acheni kujipa umuhimu.

Mkienda mahospitali huwa mnahudumiwa na wake zenu wale manesi wanaowaekea mipira ya mkojo huwa ni wake zenu.
 
Ndoa ni amrisho kutokea kwa Mwenyezi Mungu.

Hivyo vyote ulivyo andika hapo ni pumba
Jibu hoja kwa mantiki acha kufubaza ubongo kwa SCRIPT za kumezeshwa.

Kwa ufahamu wako unajua hata biblia na quraani vyote vimechambulia na kuwekwa yale yawapendezao walioamua kuvihariri na kuvichambua vitabu hivyo.

Kama kitabu wewe unachokiona kitakatifu kilitiwa mkono na kuchambuliwa na mwanadamu huo utakatifu uko wapi.

Mmelishwa upupu kiasi kwamba mnamacho na hamuoni.Mnamasikio na hamskii.Mnaaakili ila ziko frozen🤔🤔🤔
 
Huyu mjamaa atakuwa ajui kusonga ugali😄😄😄
Uzee wako utakuwa wa masikitiko
dz.jpg
 
wamachinga tumekukosea nn tena mkuu?...
mbona sisi tuna enjoy kuzurura na mavyombo yetu juani,....
📌Mmeambiwa mlipe kodi na mkae sehemu moja mtulize makende mjini sio kila mahali watu wanauza sumu ya panya na mataulo.
 
Back
Top Bottom