WANAZI WA NDOA MJE MJIBU MASWALI YA KATAA NDOA

WANAZI WA NDOA MJE MJIBU MASWALI YA KATAA NDOA

Jibu hoja kwa mantiki acha kufubaza ubongo kwa SCRIPT za kumezeshwa.

Kwa ufahamu wako unajua hata biblia na quraani vyote vimechambulia na kuwekwa yale yawapendezao walioamua kuvihariri na kuvichambua vitabu hivyo.

Kama kitabu wewe unachokiona kitakatifu kilitiwa mkono na kuchambuliwa na mwanadamu huo utakatifu uko wapi.

Mmelishwa upupu kiasi kwamba mnamacho na hamuoni.Mnamasikio na hamskii.Mnaaakili ila ziko frozen🤔🤔🤔
Mipasho mingi, kama hadija kopa na mwanae

Kwani mm nikifuata hizo unazoita script wewe kinakuuma nini?
 
Mipasho mingi, kama hadija kopa na mwanae

Kwani mm nikifuata hizo unazoita script wewe kinakuuma nini?
Kijana nenda kalale.Nimekuonyesha uzwazwa uliokujanao kama backup ya kutetea hoja yako ila naona ulichelewa kulia wakati wa kuzaliwa hivyo unaelewa taratibu mno.
 
Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, ndoa ni kwa ajili ya watu wenye utimamu wa akili.

Lakini kuowa au kuolewa si lazima ni hiyari ya mtu.
Hakuna utimamu dr.

Am not sorry to say this but am quite sure.....MEN WERE NOT WIRED THE SAME AS WOMEN. SO KEEPING THIS TWO ANIMALS WITH DIFFERENT BRAINS UNDER THE SAME ROOF IS A FAILED EXPERIMENT!!!

📌📌NDOA NI WHITE ELEPHANT PROJECT,BIG TIME!!!
 
Mungu alimtuma Paul atuambie ndoa sio lazima, ila mbondei mmoja anakuja ndoa ni amri toka kwa Mungu. 🤗
Wajinga ndio waliwao.

NDOA NI FAIL EXPERIMENT.

UKIANGALIA HATA WANYAMA HAKUNA MWENYE NDOA.

NDOA INAKINZANA NA KILA TABIA YA UNYAMA.

NA BINADAMU NI MNYAMA NDIO MAANA MASLAHI YAKE YNAPOGUSWA ANACHARUKA(ANATWANGA MTU SHABA) ANARUDI KUWA MNYAMA.
 
Back
Top Bottom