Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
164013.jpg

Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani.

Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" ,
😁😁 no bro, you are just dumb

The Worst
Marcostilone
mcTobby
 
Tumeshachelewa...


Nafasi bado ipo.

Tukisema ā€œtumechelewa kufanya mambo makubwa kama taifaā€ tunajifungia kwenye historia kana kwamba kila fursa ilikuwa na deadline.

Angalia Marekani mwanzoni mwa miaka ya 1900. Kulikuwa na tatizo kubwa la afya ya kinywa na tabia ya watu kutopiga mswaki. Haikutosha kusema ā€œwatu hawana utamaduni wa usafi.ā€ Walitambua tatizo, wakatengeneza bidhaa, wakaelewa psychology ya tabia, na wakafanya kampeni zilizosaidia kubadili habit ya jamii.

Hapa ndipo hoja ya Yuval Noah Harari kuhusu ā€œmarriage with scienceā€ inapokuwa interesting: jamii inaweza kukutana na tatizo, ikakubali kwamba haijui, kisha ikaamua kulichunguza kisayansi na kujenga uwezo wa kulitatua.

Kwa hiyo swali si:

ā€œKwa nini Tanzania tumechelewa?ā€

Swali ni:

Ni matatizo gani makubwa tunayoyaona leo ambayo dunia bado haijayatatua vizuri—na tunaweza kuyageuza kuwa systems, businesses, technologies na institutions?


Kuchelewa si mwisho wa mchezo.

Wakati mwingine kuwa nyuma kwenye jambo fulani maana yake ni kwamba bado una nafasi ya kujifunza kutoka kwa waliokwenda mbele—na kuruka baadhi ya hatua walizopitia.

Nafasi bado ipo.
 
Back
Top Bottom