Tanzania ni nchi ya kwanza, kwa Afrika Mashariki na Kati, Kwa SADC, na kama sikosei ya pili kwa Afrika kuwa na Rais mwanamke. Tuna jambo kubwa sana, kwa kuwa hata Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke na jaribio lao la kufanya hivyo lilishindwa.
Hatujali kwamba Rais Samia alikuja kuwa Raisi...
Kama inavyojulikana ni kwamba Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kiuchumi kutokana na mahali ilipo. Hata hivyo mimi nilitarajia baada ya kuachana na siasa za kijamaa huenda tungeanza kuyapiku kiuchumi mataifa mengi yanayotuzunguka na hata yaliyo mbali.
Ndipo najiuliza kama taifa tufanye...
Mkurugenzi wa WHO ameziomba nchi tajiri kusitisha kutoa chanjo ya 3 ama booster ya Covid 19 hadi angalau mwezi October 2021 ili kutoa nafasi kwa nchi masikini angalau kuchanja 10% ya watu wao.
Nchi tajiri zimeanza mpango wa kutoa chanjo ya 3 ama ya pili maarufu kama booster shots ili kuzipa...
Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.
Utawala wa Sheria hautaki hivyo...
Kirusi cha Maambukizi ya #COVID19 aina ya Delta kimesambaa kwa haraka na kuyafikia Mataifa 104. Inaelezwa kuwa kimefika hata kwenye mataifa mabayo yalionekana kuanza kupunguza kwa kiasi kikubwa kasi ya maambukizi
Mkuu wa Shirika la afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameonya kuwa kieusi...
Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja
By bbc
CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER
Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa?
Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
Hizi ni Takwimu za bara Africa kufikia jana/leo
Source: https://www.worldometers.info/coronavirus/
Nimejaribu ku highlight nchi za Mashariki mwa Africa
Hapa ni ranking ya cumulative cases za ujumla, Tangu corona ianze
Hapa ni Active cases, Yani ukiondoa wale waliopona, ni wangapi ndo...
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kisiasa, la kuyamaliza maradhi ya UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Kulingana na azimio hilo wanachama wa baraza hilo kuu wameahidi kupunguza kiwango cha maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI hadi 370,000 na vifo vitokanavyo na UKIMWI hadi chini ya...
Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, limesema nchi tajiri kiviwanda za kundi la G7 zina uwezo wa kutoa dozi milioni 100 za chanjo ya Corona kwa nchi maskini mwezi Juni na Julai pekee kusaidia kufikia malengo ya utoaji chanjo duniani kote katika mkutano wao wa kilele wiki hii.
Mkuu wa WHO Tedros...
Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
Kwa wale tuliowapitia na kucheza international match na international relationship tuje tuelezee japo kwa kifupi jinsi mambo yalivyokuwa ili iwe inspiration kwa wale ambao wanatamani nao siku moja wafike international levels.
Mimi nakumbuka nishawahi kuwa kwenye mahusiano na jamii mbili tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.