Mamlaka ya Zimbabwe imesema watu ambao hawawezi kuelezea utajiri wao ulitoka wapi mali zao ziko katika hatari ya kuchukuliwa hata ikiwa mahakama itawaondolea madai ya kuhusika na ufisadi.
Mwenyekiti wa tume ya kupambana na ufisadi Zimbabwe, jaji Loyce Matanda-Moyo, amesema oparesheni mpya...
Imeshapita miaka miwili sasa tangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha?
Ontario siku hiz anapatikana wapi?
JF najuwa kuna watu mnauwezo wa kufikiria sana. Poleni na majukumu yote. Poleni kwa wote mnao pitia kipindi kigumu cha maisha na changamoto za kiafya mungu awepe wepesi.
MADA KUU.
Hivi kwa nini matajiri wengi asilia yao sio watanzania , Top 10 ya matajiri Tanzania wapo wawili tu,wengine hao...
Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty (32) maarufu Rihanna kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya Wanamuziki tajiri wanaoishi Uingereza na kushika nafasi ya 3. Amehamia London mwaka 2019
Rihanna ambaye pia ndiye Mwanamke wa kwanza kwa utajiri kwenye orodha hiyo ana utajiri wa takriban Tsh...
Lockdown bado inaendelea hapa Uswisi japo serikali imedhibiti sana maambukizi mapya mpaka leo asubuhi kwa mujibu wa takwimu za serikali kuna jumla ya wagonjwa 43,000+ na waliokufa zaidi ya 19,000+ ni idadi ndogo sana kulinganisha na nchi zilizotuzunguka
Matajiri wa hapa jijini GENEVA...
Ukiangakia kwa umakini mapambano yanayoendelea duniani utagundua kwamba wanaoumia zaidi ni masikini au hohe hahe.
Angalia tukio lililotokea pale Kenya waliothirika kwa kipigo ni masikini ambao wengi wao walikua wanatoka kwenye miangaiko ya kujitafutia chakula chao na cha watoto.
Kuna usemi...
DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake.
Trump ni mtu msema hovyo. Ana kiburi. Wengi humuona ni ‘mtambo’, akiwemo Spika wa Baraza la Wawakilishi...
Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku?
Yaani eti anakula matunda tu analala!
Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu.
Saa 2 nikala matunda nikaelekea kulala.
Yaani usiku nipo kitandani nasikia watu ndotoni wanasema RIP. Nikaamka...
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo
Swali kuu la uchumi ni chaguo mojawapo.Uzalishaji wowote wa kiuchumi unatawaliwa na muda pamoja na raslimali zilizopo ili kutumika.Lakini mahitaji ya watumiaji kula,kuvaa,kujenga na kupumzika kwa namna mbalimbali ni mahitaji yasiyo na ukomo.
Baadhi wanaweza kuridhika lakini vipi kuhusu wengine...
Uzi huu nimeuleta maalum ili iwe fundisho kwa wale wanaosema hakuna wasomi ambao ni matajiri au kusoma hakuna maana, ni kupoteza muda nk.
Listi ya matajiri 10 duniani, kiasi cha utajiri, vyuo walivyosoma
1. Jeff Bezos - (USD 110 billion) - Princeton University - Bachelors
2. Bill Gates - (USD...
Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
Email. nipenguvu@gmail.com
Instagram. nipenguvu
“Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.