matamko ya vitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msigwa na wenzio Serikalini, tabia ya kutuongelesha kwa ukali ikome mara moja. Sisi siyo watoto wenu

    Wazungumzaji na watendaji wa Serikali hii wamekuwa na dharau sana. Kila mara wanapotoka hadharani kuzungumzia masuala mbalimbali wamekuwa na tabia ya kuongea kwa ukali kama sisi ni watoto wao. Rejea mifano ya Chalamila, Muliro, IGP Wambura, Msando, Msigwa na wengine wenye hulka kama hizi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 DC wa Mbarali Maulid Surumbu: Tarehe 29 kutakuwa na maandamano ya kupiga kura na sio maandamano mengine tunayosikia sikia kwenye mitandao

    Mkuu wa wilaya ya Mbarali mkoni Mbeya Brigedia Jenerali Maulid Surumbu amesema serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo wamejipanga kikamilifu kudhibiti viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu Frank Mastara Sichalwe ni Katibu tawala wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…