Machinga sio kikundi cha watu ambao ukishawasikiliza wao na kuwatekelezea kilio chao basi umemaliza, hapana. Watu wanaweza kudhani kuwa machinga ni vijana tu, hapana, ndani ya machinga kuna watoto, vijana, watu wazima na wazee. Mbaya zaidi wadau wa machinga wamo watu wenye wenye ajira zao na...
Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi.
Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa
Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?
1) Mheshimiwa Waziri wa Nishati January Makambaanadai kwamba:
a) Tatizo la Mgao wa Umeme limesababishwa na Uchakavu wa Miundombinu ambayo haijafanyiwa Matengenezo kwa miaka 5!!
b) Tanesco hawajafanya Matengenezo katika kipindi kilichopita cha miaka 5 (soma: Awamu ya 5) kwa sababu eti kila...
Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini.
Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama.
Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele...
Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi.
Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya.
Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi.
Inaonekana viongozi mnaogopa Covid kuliko sisi wananchi.
Tunaomba mjipange then mje na tamko moja...
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
PIA, SOMA:
- CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
Kule Mbowe kasema vile huko fulani kadai kile ajabu hata wasio na hadhi japo ya kutamka jambo fulani na wao eti leo ni wasemaji!
Hayo mambo ya kijinga tulishayasahau kabisa na Watanzania tulishaamua kufanya yale tu yahusuyo maendeleo chini ya jemedari mwamba Hayati Magufuli.
Samia asipokuwa...
Ningependa tu kujua mtu anayefahamika kwa jina la Nyagali Mdude ana cheo gani katika viunga vya Ufipa kwenye chama kikuu cha upinzani Chadema?
Matamko dhidi ya huyo Mdude kutoka CCM yamekuwa mengi so ingependeza zaidi kama tutapata wasifu wake wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitaaluma...
Kama Nchi tunawasaidizi wakushangilia alisema mkubwa bila kuchimbua kwa undani.
Mradi wa bandari ya bagamoyo,pamoja na yote ukimsikiliza Magufuli anakushawishi uuchimbe mkataba hata kama hujasoma utagundua tu.
Hoja ya Rais Samia inazidisha utata neno wanazungumza ili mradi uendelee,hapo tayari...
Asalam-alaekoum Wana-JF
Nianze kwa kurudia 'mantra' yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa na watawala wetu katika MFUMO tulionao:
THE HALLMARKS OF BAD GOVERNANCE:
1. Ambiguity
2. Arbitrariness
3. Capriciousness
Maana ya mantra hii ni kwamba huwezi kuwa na Utawala Bora kwa maamuzi:
1. YA...
Na Mwandishi Wetu,
Kutoka Tanga.
-Wataka Rais Samia Asishinikizwe kukutana nao
Mwandishi wetu Tanga.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kitaendelea kutoa mwelekeo wa siasa na uongozi wa nchi kwa vile ndicho kinachounda na kuongoza serikali, hivyo viongozi wa Chama na serikali katika...
Amani iwe nanyi,
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli.
Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe...
Viongozi wengi hasa wale wakubwa wamekuwa na tabia ya kusimamia na kuahidi Mambo mbali mbali lakini hayatekelezwi ipasavyo.
Mambo mawili; la Kwanza ni ahadi nyingi za ajira kwa vijana lakini utekelezaji wake ni hafifu.
Pili ni swala la kushugulikia gharama za vifurushi vya kupiga simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.