matamko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Machinga wanahitaji sera, sio zimamoto na matamko ya hivi

    Machinga sio kikundi cha watu ambao ukishawasikiliza wao na kuwatekelezea kilio chao basi umemaliza, hapana. Watu wanaweza kudhani kuwa machinga ni vijana tu, hapana, ndani ya machinga kuna watoto, vijana, watu wazima na wazee. Mbaya zaidi wadau wa machinga wamo watu wenye wenye ajira zao na...
  2. Kama Seal za vizibo vya chupa za maji zinachafua mazingira. Je, karanga na pipi hazichafui?

    Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi. Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?
  3. C

    Tatizo la umeme nchini na matamko 4 tofauti ya Serikali

    1) Mheshimiwa Waziri wa Nishati January Makambaanadai kwamba: a) Tatizo la Mgao wa Umeme limesababishwa na Uchakavu wa Miundombinu ambayo haijafanyiwa Matengenezo kwa miaka 5!! b) Tanesco hawajafanya Matengenezo katika kipindi kilichopita cha miaka 5 (soma: Awamu ya 5) kwa sababu eti kila...
  4. P

    Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

    Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini. Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama. Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele...
  5. #COVID19 Wakuu wa Mikoa na Wilaya, toeni tamko moja kuhusu COVID-19

    Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi. Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya. Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi. Inaonekana viongozi mnaogopa Covid kuliko sisi wananchi. Tunaomba mjipange then mje na tamko moja...
  6. #COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  7. Sasa hivi kila kukicha ni matamko na kujimwambafai kwa kila awaye akiamua...

    Kule Mbowe kasema vile huko fulani kadai kile ajabu hata wasio na hadhi japo ya kutamka jambo fulani na wao eti leo ni wasemaji! Hayo mambo ya kijinga tulishayasahau kabisa na Watanzania tulishaamua kufanya yale tu yahusuyo maendeleo chini ya jemedari mwamba Hayati Magufuli. Samia asipokuwa...
  8. J

    Nyagali Mdude ana cheo gani hapo Chadema mbona CCM inamtolea "matamko" kila kona?

    Ningependa tu kujua mtu anayefahamika kwa jina la Nyagali Mdude ana cheo gani katika viunga vya Ufipa kwenye chama kikuu cha upinzani Chadema? Matamko dhidi ya huyo Mdude kutoka CCM yamekuwa mengi so ingependeza zaidi kama tutapata wasifu wake wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitaaluma...
  9. P

    The big agenda, asante kwa matamko ya Marais

    Kama Nchi tunawasaidizi wakushangilia alisema mkubwa bila kuchimbua kwa undani. Mradi wa bandari ya bagamoyo,pamoja na yote ukimsikiliza Magufuli anakushawishi uuchimbe mkataba hata kama hujasoma utagundua tu. Hoja ya Rais Samia inazidisha utata neno wanazungumza ili mradi uendelee,hapo tayari...
  10. Umachinga ni 'social behavior', siyo rahisi kuibadili kwa Sheria au kwa Matamko

    Asalam-alaekoum Wana-JF Nianze kwa kurudia 'mantra' yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa na watawala wetu katika MFUMO tulionao: THE HALLMARKS OF BAD GOVERNANCE: 1. Ambiguity 2. Arbitrariness 3. Capriciousness Maana ya mantra hii ni kwamba huwezi kuwa na Utawala Bora kwa maamuzi: 1. YA...
  11. S

    Shaka: Baadhi ya matamko ya Viongozi wa Upinzani hayana Afya kwa Taifa

    Na Mwandishi Wetu, Kutoka Tanga. -Wataka Rais Samia Asishinikizwe kukutana nao Mwandishi wetu Tanga. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kitaendelea kutoa mwelekeo wa siasa na uongozi wa nchi kwa vile ndicho kinachounda na kuongoza serikali, hivyo viongozi wa Chama na serikali katika...
  12. Kauli, matamko ya Rais Samia yaliyoleta umoja na utulivu wa nchi

    Amani iwe nanyi, Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli. Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe...
  13. K

    Matamko ya viongozi kuhusu ajira hayatekelezwi

    Viongozi wengi hasa wale wakubwa wamekuwa na tabia ya kusimamia na kuahidi Mambo mbali mbali lakini hayatekelezwi ipasavyo. Mambo mawili; la Kwanza ni ahadi nyingi za ajira kwa vijana lakini utekelezaji wake ni hafifu. Pili ni swala la kushugulikia gharama za vifurushi vya kupiga simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…