Shalom wapendwa,
Niwajulishe tu mimi ni mhanga wa zile kampuni zinazojitangaza zinauza viwanja redioni.
Unasikia matangazo: “Njoo Jumamosi saa kumi ukaangalie kiwanja chako…”
Mimi nililipa, na baada ya muda nikafika. Nilipokuta, ndugu wengine nao walikuwa wakisema mali zile ni zao. Hawa...