Hivi hizi redio zinasambaza matangazo ya makampuni yanayouza viiwanja feki awaogopi Mungu??

Hivi hizi redio zinasambaza matangazo ya makampuni yanayouza viiwanja feki awaogopi Mungu??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Shalom wapendwa,

Niwajulishe tu mimi ni mhanga wa zile kampuni zinazojitangaza zinauza viwanja redioni.

Unasikia matangazo: “Njoo Jumamosi saa kumi ukaangalie kiwanja chako…”

Mimi nililipa, na baada ya muda nikafika. Nilipokuta, ndugu wengine nao walikuwa wakisema mali zile ni zao. Hawa wanaoletwa hawajawalipa mpaka sasa—wanawaonyesha tu viwanja hewani.

Aisee! Baada ya kuhangaika sana, ile kampuni tulikutana nayo sehemu ya mbele.
Baadaye wakaomba radhi, wakasema watanipa kiwanja Mlandizi.

Nikampa dogo mmoja, sijui hata kama aliwahi kufika au kujenga.

Leo nafunguaga redio kwenye gari, nasikia tena kama yote. Sio kampuni moja tu—na hawa wahuni redioni wanavyowapamba unaweza kudhani unanunua kiwanja Marangu!

Aisee…
Watalaaniwa sana.
 
Polisi wetu wako macho na upinzani hayo mengine hadi yakifika shingoni watu au yamtokee mkubwa ndo wanafanyia kazi.
Mfano

Mtandaoni kuna matapeli wengi sana wanajinasibu wanatoa mikopo kwa majina ya kama waoni Mo foundation, au Kikwete, Au Tulia na wanatoa malekezo ya kwanza uanze kutuma hela ya form au Bima ya mkopo ndo upatiwe ( Unadhani wangeamua kuwatafuta wanashindwa?)

Kuna watu wanajidai wanauza vitu na wako Pemba wanatoa pia namba zao uwasiliane nao na utume hela ya nauli ila kamwe huwezi ona wanakamatwa.
 
Back
Top Bottom