Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili,
Utakapo pata nafasi ya kuingia kwenye ajira, Moja Kwa Moja na utakutana na watu uko kazini wakiwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu
Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.
Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap...
Mkutano wa 19 wa Viongozi wa kundi la nchi 20 (G20) umefanyika nchini Brazil, ambapo Umoja wa Afrika umeshiriki kwa mara ya kwanza kama mwanachama rasmi, na kuwa shirika la pili la kikanda baada ya Umoja wa Ulaya. Katika miaka ya hivi karibuni, nguvu ya dunia ya kusini inayowakilishwa na nchi...
Kuna msukumo mkubwa wa Wazanzibari ukichagizwa na uislam kwa Rais Samia na Rais Mwinyi kutaka Serikali ya Zanzibar kujiunga na OIC ili vijana wa Zanzibar wapate ajira na ujenzi wa bandari kubwa kisiwani Unguja.
Hilo ni jambo jema kwa maendeleo kama yatapatikana kweli. Changamoto iliyopo ni...
UTANGULIZI
Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo:
Teknolojia na...
Tunaumizwa na watu tunaowapenda. Tumewapa haki hiyo tulipojiaminisha upendo tulionao kwao ndio walionao kwetu. Tumechagua wenyewe kuumia.
Haki ya kulibangua hilo na kuliweka kwenye kipimo stahiki imeshikamana sana na mataraja yetu. Tunaamini tunavyovitarajia kuliko vilivyobwagwa upeoni mwetu...
Kuongoza nchi si kitendo Cha kusema tumpe nani nafasi tujaribu kuona atafanya nini ila kitendo Cha kuwa na Imani nani kabeba matarajio ya wapiga kura na wananchi Kwa ujumla.
Vyama vya upinzani Bado ni vichanga kiuongozi na ni mapema mno kutaka kuaminiwa Kwa Urais nafasi inayoamua hatima ya...
Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania"
Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia...
Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio
Mwandishi: MwlRCT
Utangulizi
Umeme ni nguzo ya maendeleo. Umeme unawezesha wananchi wa vijijini kufanya shughuli za kiuchumi, kijamii, kimazingira na kiusalama. Umeme pia unachangia kupunguza umaskini, kuongeza elimu, kuboresha afya...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ya Uzazi na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limesema kuwa idadi ya watu nchini India itakapofika katikati ya mwaka huu, inakadiriwa kuwa bilioni 1.4286, na kuifanya India kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani.
Kwa mara ya kwanza, mwaka jana, China ilirekodi...
Marekani imekuwa ikijaribu kuzuia maendeleo ya nchi inazozihofia kwa kuziwekea vikwazo kwa matumaini kwamba zitadhoofika kiuchumi na kuzifanya zisiendelee kijeshi hata kuzifanya zisiwe tishio tena. Mategemeo yake ni kuwa zitakuja kumpigia magoti na kumwabudu kana kwamba kuwepo kwao kunategemea...
Mahusiano sio kitu rahisi
Wengi wanaamini kufanya tendo la ndoa ndio mahusiano, hilo si kweli; mahusiano ni zaidi ya tendo.
Mahusiano ni sawa na kuunganisha kampuni A na B, zenye mitazamo tofauti, na hatimaye kujiwekea makubaliano kwa vile vitu mnavyofanana na kutengeneza kampuni mpya C...
Nakumbuka nilipokuwa form 2 nilianza kupenda sana majibizano na wenzangu kuhusu siasa, yaani ilitokea napenda sana kukosoa serikali kwa kuwa ndiyo kitu simple sana kuliko kusifia sababu ni kwamba toka tunavyopata uhuru fikra zetu zimejengwa kuwa Wazungu(watawala) ni wanyonyaji na wabaya sana...
Yakiwa yamebaki Masaa yasiyozidi therathini kwa Timu zetu za Kariakoo kurusha karata zao katika mashindano ya kimataifa, ghafla nazinduka usingizini baada ya kuyakumbuka maneno ya mzee mmoja mwenye busara aliyesema;
"SON, Football can kill you, A real death. Don't settle for less but lower...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Ukuaji wa Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa tena kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi katika Nchi nyingi duniani, jambo litakalopunguza kasi ya Mfumuko wa Bei.
Bara la Afrika litakuwa na ongezeko la Ukuaji...
Katika utekelezaji wa miradi, wakati mwingine mteja (client/beneficiary) hutarajia huduma zenye ubora wa kiwango fulani/mtindo fulani tofauti na uwezo wetu katika kuzalisha. Hali hii kwa kiasi kikubwa imekuwa ikipelekea miradi mingi kutokufanya vizuri, na hii ni kwa sababu, KUMRIDHISHA MTEJA...
Juzi nikasema nimpigie rafiki yangu mmoja ambaye sijazungumza naye kwa miezi kadhaa sasa. Mingoni mwa mazungumzo yetu ilikuwa kama ifuatavyo:
Mimi: Mambo vipi kaka, habari za siku?
Yeye: Salama kaka, vipi unaendeleaje na mishemishe huko ya maisha?
Mimi: Salama tu kaka, Mungu anajalia uzima...
Cha mno ni nini hasa?
Nini matarajio yako nje ya ndoa yako uliyonayo sasa?
Ninini?, kwamba uliamini kwamba mwenzi wako ni malaika? Au unaamini kwamba ukimwacha huyo then utampata mtakatifu asiyekukosea, asiye saliti wala kukuudhi au uliaminishwa kwamba anayekuoa au umuoae atakuridhisha kwa...
Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna.
NB: Ndio utaelewa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.