matarajio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
  2. Magema Jr

    Wanaopinga Serikali ya Rais Samia wapo wengi tofauti na matarajio yake kama Rais Mpenda haki na usawa

    Ni miezi michache tu tangu bibi yetu achukue kijiti hiki.Mwanzoni alionekana kukubalika saana hasa na wapinzani na wenye mlengo tofauti na aliye kuwa rais wakati huo. Lakini hali imebadilika ghafla na kila mmoja wetu ana hofu nna mashaka juu ya hatima ya kesho. Wengine wanajaribu hadi kumpinga...
  3. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  4. Leak

    Rais na DPP ni matarajio ya wengi kuwa Mbowe atafikishwa Mahakamani au kuachiwa huru

    Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
  5. Theb

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Mwanzo, nitaelezea maisha ya mtaani, changamoto zinazo wakabili...
  6. J

    Unaumizwa na matarajio yasipotimia? Jiulize maswali yafuatayo

    Hicho ulichokikosa kitakuwa na maana ndani ya miaka 10 ijayo? Kitu hicho kina umuhimu gani ukilinganisha na vitu vingine kwenye maisha yako? Ni funzo gani umepata kutokana na kuumizwa? Utagundua kuna vitu vingi vya kukupa furaha ukivitumia ipasavyo hivyo maisha ni lazima yaendelee...
  7. J

    Matarajio yanayoweza kupelekea ukapata Msongo wa mawazo

  8. J

    Umewahi kuwa na matarajio makubwa kisha ukaumizwa?

    Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha
  9. Kasomi

    Rais Samia na hotuba ya matarajio kwa Watanzania

    RAIS Samia Suluhu Hassan, amezidi kuonyesha ni kiongozi mwanamageuzi, mtu bora na sahihi aliyeandaliwa kuwa kiongozi madhubuti kwa namna anavyowasilisha hotuba zake, ambazo zimekuwa zikivutiwa watu na kutoa mwelekeo thabiti wa Tanzania bora, ambayo inakwenda kufanikiwa chini yake. Hii...
  10. Yericko Nyerere

    Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  11. R

    Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
  12. M

    Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

    Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu. Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu wa fani yangu, na watu wengi wakawa wanachangia maoni Siku moja nikapokea text messenger kutoka kwa...
Back
Top Bottom