Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa...
Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara.
Unapokutana na wezi ni option tatu pekee
1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
Habari zenu?
Niende kwenye mada!
Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza sifa sana. Yaani ni kama hatujui thamani yetu. Haya ni mambo matatu ambayo tunayafanya daily na...
The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator).
The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator)
Trippy
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
2025 Twende pamoja na mambo haya matatu;
1. Afya
2. PESA
3. FAMILIA
1. AFYA
a) Kula chakula Chenye lishe bora kwa kuzingatia Umri wako.
b) kunywa Maji ya kutosha kulingana na jinsia, umri na uzito wako.
c) Angalau kwa siku lala Masaa nane.
d) Kama hufanyi...
AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe.
Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili, lakini wataamua mfano yai la dume wa hamsini aliyempanda, ndio litakalorutubishwa.
Kama jike...
Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya uchaguzi na mwingine kupigiwa kura nyingi za hapana katika uchanguzi uliofanyika Novemba 27 mwaka huu...
Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Hayo yameelezwa na...
Ndio, haujakosea kusoma.
Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG.
Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani.
Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan...
TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari.
Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili.
Wa Kwanza
Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
Kwa game lovers naamini mmewahi kukutana na huu msemo kwenye gemu fulanifulani, "Surviving is winning, Franklin. Everything else is bullshit."
Yes! Kwenye quote hio nitaongeza vitu viwili na kwakweli ukitoa orodha ya hivi vitu vitatu nitakavyovitaja hapa, vingine havina maana kabisa na...
Huniambii kitu hata!
Mimi siingilii Uhuru wa maonî ya Watu walah!
Kûna waliniita Mario,
Kûna waliniita Serengeti boy,
Kûna waliniita kibenteni.
Basi kama mjuavyo Siku hizi Vijana Hawana Kazi, na kama nimetoa Ajira Kwa Watu kunitungia Majina na huenda Kwa Mwezi wanapewa Pesa za kujikimu Maisha...
HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU
Na WAF - Dodoma
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu.
Waziri Jenista amesema hayo leo...
Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara.
Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako.
Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy.
Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product "
Ili kupata uongozi sokoni...
MAMABO MATATU MATATU YATAKOIBADILI TANZANIA NA KUPATA NDANI YA MIAKA 10 TU TANZANIA NITAKAYO.
Tanzania ni nchi tajiri ambayo inapsawa kuwa mbali sana kiuchumi na kuiingiza kwenye nchi tajiri duniani. Miongoni mwa mambo matatu ambayo tunapaswa kuyazingatia ili kupata maendeleo ni, Moja kuwekeza...
Kumekuwa na kasi ya ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kulingana na tafiti za shirika la afya duniani (WHO) takriban asilimia 74 ya vifo vyote duniani vinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza nah uku magonjwa kama vile kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya figo na magonjwa ya moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.