Tarehe 05 mwezi Februari mwaka 1997 ilikuwa siku muhimu yenye matukio ya kufurahisha na kuhuzunisha. Kabla haujayapitia hayo matukio matatu, Kumbuka siku hii chama cha TANU na ASP viliungana na kuunda Chama cha Mapinduzi (CCM).
Lakini 1. ASP ilikuwa inatimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake na...
Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua.
Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.
1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe...
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA MAELEKEZO MATATU KWA SERIKALI, AHUENI KWA WAKULIMA WA MAHINDI NCHINI.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maelekezo matatu kwa Serikali kuhusu ununuzi wa mahindi ya wakulima, vituo vya kununulia mahindi pamoja na bei ya mbolea nchini.
Maelekezo hayo yametolewa...
Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa.
Huyo ndo Mwakinyo bwana Mdigo mwenye maneno yake.
Bado mnataka apigane na Twaha Kiduku?
On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country.
The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial...
TAARIFA KWA UMMA
KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
Lamborghini, Hummer, na Cadillac. Lakini kwa kipindi chote nilichokaa Tottenham nlishindwa kununua FURAHA.
Furaha pekee ndo ilinifanya niondoke Tottenham na kwenda kuitafuta sehemu nyengine.
Swali kwako how far can you go for find of happiness and what cost u can pay for your happiness?
A
Je, Mama akubali Kutenguliwa kwa Tozo ibaki ile ile ya mwanzo huku akimwangusha Waziri wake wa Fedha aliyemuamini?
B
Je, Mama akaze hivyo hivyo 'Tozo Umiza Komoa' ibaki ili amlinde Waziri wake wa Fedha, asiwaangushe Wabunge walioipitisha na asikiangushe Chama Tawala cha CCM kilichompa...
1. IGP Siro haja na taarifa zenye utata dhidi ya Lissu
2. Dialo na Mtaka watoa kauli nzito kuhusu watawala na kutakiwa kuomba radhi kinyume na misimamo yao
3. Msajili wa vyama ahoji kwanini wabunge 19 walifukuzwa chadema
Huu ni mwendelezo wakuwatoa Wana vuguvugu la katiba kwenye harakati za...
Wazee wa baraza katika kesi ya mauaji ya mwafrika mmarekani George Floyd wanatarajiwa kurejea mchana huu na majibu ya hatia kwa mashtaka yote matatu.
Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi alimwekea goti shingoni George Floyd kwa dakika tisa na sekunde 29 alipokuwa akimkamata na kusababisha...
Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni;
(i) Kugusa maisha ya wengi
(ii) Kusifiwa akiwa hai
(iv) Kuondoka wakati bado anahitajika.
Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
1. Ukisikia kuna AJALI KUBWA imetokea mahala popote Barani Afrika jueni ni jambo la Kawaida tu na Umakini uongezeke ili Kuepuka na zingine mbeleni.
2. Ukisia kuna MWANDAMIZI ( KIONGOZI ) yoyote au MTU MAARUFU yoyote yule ana ANAUGUA sana au hata AMEFARIKI ( hapa Barani Afrika ) wala usishtuke...
Ndugu Waziri wa Afya, naomba kukuuliza MASWALI matatu tu ili nisikuchoshe. Nikiwa mwananchi wa nchi hii ninahitaji majibu sahihi kutoka kwako tena yawe ya kitaalamu na si ya kisiasa:
1) Je, korona ipo au haipo hapa Tanzania, na kama ipo Ni ya aina gani, ya China au ya South Africa?
2) Je...
Wadau leo nimezidiwa ujanja nimebaki nacheka kweli mjini shule nimemkuta mtu ana maembe dodo mazuri Mbagala stand nikayapenda, nikauliza bei akasema ni sh. 800 na yapo 4 Mimi nilitaka mawili tu.
Nikampa 10,000 akawa chenji hana ikabidi aniache na maembe yale manne na kiroba chake anaenda...
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.
Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.
Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,
Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake...
Tofauti ya ustaarabu wa Watanzania kwa Wakenya inajidhihirisha kwenye hii video. Kwenye comment hakuna hata Mtanzania mmoja aliyeshiriki kuwabeza Wakenya kwa usafiri wao mbovu. Hii video ni ya 2017, kipindi hicho BRT ilikuwa mpya kabisa ila cha kushangaza hakuna hata comment mmoja ya Mtanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.