matatu

In Kenya matatu (known as mathree in Sheng) or matatus are privately owned minibuses, although pick-up trucks and estate cars were in the past pressed into service as these Kenyan share taxis. Often decorated, many matatu feature portraits of famous people or slogans and sayings. Likewise, the music they play is also aimed at quickly attracting riders.Although their origins can be traced back to the 1960s, matatu saw growth in Kenya in the 1980s and 1990s, and by the early 2000s the archetypal form was a (gaily decorated) Japanese microvan. C. 2015, larger, bus-sized vehicles also started to be pressed into service as matatu.
These minibuses ply set routes, run from termini, and are used for both inter- and intra-city travel. In addition to a driver, matatu may be staffed by a conductor, locally known as a makanga or manamba or donda.
As of 1999, they were the only form of public transport available in Nairobi, Kenya, although in 2006 and 2008 this was no longer the case.
Over the years, stiff competition is being experienced from bus-sharing applications such as SWVL.The name may also be used in parts of Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Kwa anayoyaongea Lissu kuhusu uchaguzi, vyombo vya ulinzi na usalama vina machaguo matatu tu

    Habari Ndugu zanguni, Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa...
  2. R

    Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

    Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara. Unapokutana na wezi ni option tatu pekee 1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
  3. CHALLANGE NJOO UTAJE MAJINA MATATU AU MANNE YA KUZALIWA YA MCHEZAJI WA ULAYA UNAE MUHUSUDU NAANZA

    1. JUDE VICTOR WILLIAM BELLINGHAM 2. LAMINE NASRAOUI YAMAL EBANA 3. PHILP WALTER FODEN
  4. Mwanaume Kuwa Makini Na Haya Mambo Matatu

    Habari zenu? Niende kwenye mada! Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza sifa sana. Yaani ni kama hatujui thamani yetu. Haya ni mambo matatu ambayo tunayafanya daily na...
  5. Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
  6. Majina yangu matatu kamili yametoka katika walioitwa kazini na sikuomba, hii imekaaje?

    Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu? Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
  7. Dira ya vijana 2025; mambo haya matatu

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 2025 Twende pamoja na mambo haya matatu; 1. Afya 2. PESA 3. FAMILIA 1. AFYA a) Kula chakula Chenye lishe bora kwa kuzingatia Umri wako. b) kunywa Maji ya kutosha kulingana na jinsia, umri na uzito wako. c) Angalau kwa siku lala Masaa nane. d) Kama hufanyi...
  8. R

    Wakati nyoka na mijusi dume wana uume mbili (hemipenes), ona maajabu matatu ya kipekee kwa majike!

    AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe. Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili, lakini wataamua mfano yai la dume wa hamsini aliyempanda, ndio litakalorutubishwa. Kama jike...
  9. LGE2024 Tabora: Maeneo Matatu Wilayani Uyui kurudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya changamoto kadhaa

    Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya uchaguzi na mwingine kupigiwa kura nyingi za hapana katika uchanguzi uliofanyika Novemba 27 mwaka huu...
  10. Q

    LGE2024 Saa 12 asubuhi yamekutwa mabox matatu tayari yamejaa kura. Hii ndio Tanzania.

    https://x.com/godbless_lema/status/1861661004586983644
  11. LGE2024 Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

    Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 Hayo yameelezwa na...
  12. BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

    Ndio, haujakosea kusoma. Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG. Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani. Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan...
  13. Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  14. Majukumu matatu ya binadamu duniani

    Kwa game lovers naamini mmewahi kukutana na huu msemo kwenye gemu fulanifulani, "Surviving is winning, Franklin. Everything else is bullshit." Yes! Kwenye quote hio nitaongeza vitu viwili na kwakweli ukitoa orodha ya hivi vitu vitatu nitakavyovitaja hapa, vingine havina maana kabisa na...
  15. Sikujua kama huyu shangazi meno matatu ya mbele NI bandia. Kumbe Nipo na kibogoyo

    Huniambii kitu hata! Mimi siingilii Uhuru wa maonî ya Watu walah! Kûna waliniita Mario, Kûna waliniita Serengeti boy, Kûna waliniita kibenteni. Basi kama mjuavyo Siku hizi Vijana Hawana Kazi, na kama nimetoa Ajira Kwa Watu kunitungia Majina na huenda Kwa Mwezi wanapewa Pesa za kujikimu Maisha...
  16. Tucheze mchezo: comment kwa kundeleza sentensi ya juu yako, kwa maneno yasiyozidi matatu

    Nilipokuwa kijana mdogo
  17. Hospitali zote zaagizwa zihudumie wagonjwa ndani ya masaa matatu, je hospitali zetu zimejengewa uwezo huu?

    HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu. Waziri Jenista amesema hayo leo...
  18. M

    Sokoni zinapuuzwa biashara zote zisizozingatia mambo haya matatu

    Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara. Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako. Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy. Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product " Ili kupata uongozi sokoni...
  19. K

    SoC04 Mambo matatu yatakayoibadili Tanzania na kupata ndani ya miaka 10 Tanzania niitakayo

    MAMABO MATATU MATATU YATAKOIBADILI TANZANIA NA KUPATA NDANI YA MIAKA 10 TU TANZANIA NITAKAYO. Tanzania ni nchi tajiri ambayo inapsawa kuwa mbali sana kiuchumi na kuiingiza kwenye nchi tajiri duniani. Miongoni mwa mambo matatu ambayo tunapaswa kuyazingatia ili kupata maendeleo ni, Moja kuwekeza...
  20. J

    SoC04 Kuifikia Tanzania Tuitakayo: Matatu ya Kuweka Kipaumbele kwa kuelekea Tanzania Yenye afya njema

    Kumekuwa na kasi ya ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kulingana na tafiti za shirika la afya duniani (WHO) takriban asilimia 74 ya vifo vyote duniani vinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza nah uku magonjwa kama vile kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya figo na magonjwa ya moyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…