matatu

In Kenya matatu (known as mathree in Sheng) or matatus are privately owned minibuses, although pick-up trucks and estate cars were in the past pressed into service as these Kenyan share taxis. Often decorated, many matatu feature portraits of famous people or slogans and sayings. Likewise, the music they play is also aimed at quickly attracting riders.Although their origins can be traced back to the 1960s, matatu saw growth in Kenya in the 1980s and 1990s, and by the early 2000s the archetypal form was a (gaily decorated) Japanese microvan. C. 2015, larger, bus-sized vehicles also started to be pressed into service as matatu.
These minibuses ply set routes, run from termini, and are used for both inter- and intra-city travel. In addition to a driver, matatu may be staffed by a conductor, locally known as a makanga or manamba or donda.
As of 1999, they were the only form of public transport available in Nairobi, Kenya, although in 2006 and 2008 this was no longer the case.
Over the years, stiff competition is being experienced from bus-sharing applications such as SWVL.The name may also be used in parts of Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. Binafsi press conference ya Zuhura Yunusu sijaiekewa, alielewa anifafanulie mambo haya matatu

    1. Mikataba 15 iliyosainiwa na serikali haikutajwa.kuna haja gani kuita press conference ukashindwa kuainisha mikataba. Kama kuna alieielewa anisaidie humu Mh Waziri wetu wa fedha ameulizwa zaidi ya parachichi na mabondo ni bidhaa gani zaidi zimeruhusiwa. Jibu akasema ni bidhaa za majini kama...
  2. 2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

    Zingatio 1: Simo katika kabila lolote kwenye hii orodha, sina mgongano wa kimaslahi wa kunifanya kupendelea ama kuchukia makabila niliyotaja. zingatio 2: kuwa ndani ya haya makabila haimaanishi watu wote wa kabila hilo wafanikiwa, hata idadi ya wenye mafanikio makubwa ndani ya haya makabila...
  3. Kama mnatamba kutwa mmesajili Kimataifa, mnafanya mambo haya ya nini?

    1. Kuroga kwa kukufuru 2. Kutaka kumhonga refa 3. Kutaka kuwapulizia sumu GENTAMYCINE nakumbusha tu kuwa safari ya kwenda kwao ikiwepo ombeni hata makomandoo 25 wa JWTZ wawasindikize na wakawalinde mkiwa huko kwani kupigwa, kujeruhiwa na kurushiwa mawe au hata risasi ukiwa (ukienda) kwao ni...
  4. Ogopa mambo haya matatu!

    Ogopa mambo haya matatu! Anaandika, Robert Heriel. Yawezakana kuna mambo yanakuogopesha sana katika maisha yako. Lakini lazima uelewe kuwa yapo mambo makuu unayopaswa kuyaogopa Sana, tena Sana! Mambo hayo ni: 1. Dhambi 2. Umasikini 3. Ujinga 1. Dhambi/Uovu/ uhalifu Katika maisha yako ogopa...
  5. Soma upate mawili matatu: Kwa umri huu, haya nambo yafuatayo Nimeyashuhudia na kuyapitia

    Wakuu habari za majukumu mbalimbali ya ujenzi wa Taifa. Ni miezi kadhaa sijaleta thread hapa, tangu nilete ile thread ya jinsi nilivyopoteza 1.8M ndani ya siku chache. Leo nimekuja tushare mambo mbalimbali ambayo nimeyapitia na nimeyaona hadi umr huu, yanaweza kukufundisha au kukupa exposure...
  6. TANZIA Mwakata, Shinyanga: Ajali ya magari matatu 'Lori, IST, Hiace' na Trekta yadaiwa Watu 20 wamefariki, 15 wajeruhiwa (Agosti 8, 2022)

    Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
  7. M

    Mmeshamaliza hesabu zenu sasa tulieni Wanamume wamalize na Makombora yao Matatu tu Matakatifu

    Tofauti yenu Mazuzu na Sisi Werevu ni kwamba nyie (Mazuzu) mnasajili Kimihemko na kwa Kukurupuka wakati Sisi Werevu tunasajili Kiutaalam, Kiufundi na Kimkakati hasa. Tunaenda Kukamilisha na Makombora yetu Matatu tu kisha tukutane Ngao ya Jamii Mwezi ujao ( August 2022 ) na endeleeni tu Kukariri...
  8. Mambo matatu (03) ziara ya Rais Samia Marekani.

  9. M

    Tujadili na kuchambua: Maeneo matatu yaliyojikità katika mazungumzo ya mama na makamu wa rais wa marekani- Demokrasia, biashara & uchumi na Afya/coron

    Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!! Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
  10. K

    Ni kipi kilisababisha Magufuli kupiganiwa na makabila matatu ?

    nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
  11. Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

    Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana 1 CCM sio mali ya serikali 2 CCM haiagizwi na serikali 3 CCM ndio inaiagiza serikali Ni maneno machache yana maana kubwa Twende kazi Hapi Alli Nakusalimia sana Britanicca
  12. Mnakumbuka matukio ya ujambazi miaka ile Moshi na Arusha, njoo tukumbushane mawili matatu

    Miaka ile kanda ya kaskazini iligubikwa na matukio mazito ya ujambazi, nakumbuka ilikuwa haupiti mwezi bila tukio kubwa la ujambazi kutokea. Mnakumbuka wizi wa benki ya NMB pale Mwanga kama sikosei? Mnamkumbuka kamanda Chico? Mnakumbuka kuna battle ya risasi ya majambazi na polisi ilidumu kwa...
  13. J

    Makundi matatu ya watumiaji wa MADAWA YA KULEVYA na je, mtumiaji anaweza kupona?

    Watanzania wengi wamekuwa wakiumizwa na changamoto za vijana wao kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya na kujikuta wanapoteza malengo yao ya kimaisha kama vile kupata elimu, kuwa na maisha mazuri, kuwa na familia bora na kujikuta wanaangukia kwenye utegemezi mkubwa badala ya wao...
  14. S

    Umoja wa Ulaya (EU) wagawanyika mafungu matatu juu ya vikwazo vya mafuta na gesi ya Russia

    Baada ya Russia kuivamia kijeshi Ukraine, Russia imewekewa vikwazo kadhaa na nchi mbali mbali zikiwemo US, UK na nchi kadhaa zinazounda Umoja wa Ulaya (EU). Ktk vikwazo vya hivi karibuni zaidi ni vikwazo vilivyotangazwa na US dhidi ya nchi hiyo kununua mafuta ya Russia na ikaahidi kutangaza...
  15. J

    Waziri Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E. Makampuni hayo ni pamoja na Ofisi binafsi ya biashara ya mwana Mfalme Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, AFRIDE na DMCC pamoja na Agritech Global. Mikataba hiyo imesainiwa mbele ya...
  16. Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

    Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
  17. At least 13 dead at Matatu bombing at Mandera

    About thirteen people have been confirmed dead in Arabia, Mandera County after a minibus ran over an Improvised Explosive Device (IED). County authorities have told The Standard that the vehicle was headed to Mandera town. Eye witnesses at the scene say the incident took place on Monday...
  18. Rais Samia kwa sababu zangu Binafsi nakushauri Jina la Naibu Spika awe amepitia au amebobea katika maeneo haya Matatu tu....

    1. Awe ni TISS Agent 2. Awe ni Mmedani ( JWTZ ) Mstaafu 3. Awe Lawyer na Diplomat tu ANGALIZO Hakikisha awe ni Muislamu kwa Imani ( Dini ) halafu awe anatokea Visiwani ( Zanzibar Isles ) na kamwe asitokee huku Kwetu Tanzania Mainland. Mheshimiwa Rais wangu Samia kama ambavyo hukuniangusha...
  19. Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
  20. R

    Mambo matatu Muhimu kabla hatujamsahau Hayati Dkt. Magufuli

    Katika Nchi ambayo Viongozi wanajipimia kama hii Tanzania ya Sasa tunahitaji vitu vitatu :- 1. Katiba Mpya ,tunahitaji katiba inayong'ata ili viongozi na wananchi waheshimu madaraka. 2. Chama kimoja (ingawa linaendana na katiba),Tanzania bado ni nchi changa kuwa na mfumo wa vyama vingi hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…