Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amewahakikishia wazee na wananchi wa mkoa huo usalama na amani wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.
Akizungumza katika matembezi ya amani ya wazee wa Arusha, yaliyofanyika kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu...
Viongozi Wa Dini Wanavyofanya Matembezi Ya Amani Sio Kufanya Uchawa Bali Ni Kuliombea Taifa Amani Tulionayo Izidi Kudumu Kwenye Taifa Hili” Sheikh Walid Ameyasema Hayo Wakati Wa Matembezi Ya Amani Amani Yaliyofanyika Leo Septemba 20
Maelfu ya vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi katika matembezi ya amani yaliyofanyika jijini Arusha kuonesha mshikamano na kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Samia katika kuwaletea maendeleo, hususan kwenye sekta ya elimu.
Kupitia ongezeko la mikopo na...