ismail kibwana
Member
- May 4, 2024
- 5
- 11
Maelfu ya vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi katika matembezi ya amani yaliyofanyika jijini Arusha kuonesha mshikamano na kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Samia katika kuwaletea maendeleo, hususan kwenye sekta ya elimu.
Kupitia ongezeko la mikopo na kuboreshwa kwa mazingira ya kujifunzia...!! Wasomi wa Tanzania wanajivunia mafanikio ya Serikali ya Rais Samia.
Mgeni rasmi katika tukio hilo muhimu alikuwa Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, ambaye aliwahamasisha vijana kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani wakati huu tunapoelekea Uchaguzi Mkuu Mwezi Oktoba, 2025 na kuchangamkia fursa ya kushiriki uchaguzi kwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Maeneo yao.