Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya madaraka, wanaiba na kupora mali za umma kwa kiwango amacho hata makaburu wa Afrika kusini hawakuwahi...