matendo

Conquest of the Crystal Palace, known in Japan as Matendōji (魔天童子 (まてんどうじ), Demon Heaven Boy) is a 1990 Nintendo Entertainment System platform game developed by Quest and published by Asmik Corporation of America (subsidiary of J:COM).

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Kumuenzi Baba wa Taifa: CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla. Je, tunamuenzi kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo? Tunamuishi?

    Karibuni tena kwenye makala zangu za “Kwa Maslahi kwa Taifa”, zinazozungumzia mada mbalimbali kuhusu taifa letu ziwe ni za kisiasa, za kiuchumi au za Kijamii, baada ya leo ni kuhusu kumuenzi Mwalimu Nyerere, kwa vile Tarehe 14 October ni Nyerere Day, leo naomba tutafakari jinsi sisi Watanzania...
  2. Komeo Lachuma

    Kwa matendo haya, sasa naamini mimi ni mwanaume wa ukweli!

    1. Kuna siku nlikuwa naitwa na mwaamke niende kwake nikamle, na wakati huo huo kuna jamaa yangu anajisikia vibaya kanipigia simu yupo home. Nlikataa kwenda kwa mwanamke nikaenda kwa jamaa kumchukua na kumpeleka hospitali. Uamuzi huu umenipa sifa sana kwa kweli. 2. Kuna kipindi dada mmoja...
  3. Kigoma Region Tanzania

    Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

    Mwanga Kaskazini ni jina la kata ya Manisipaa ya Kigoma Ujiji katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania Mandhari katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Mini mart katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Shule ya msingi Katubuka, Mwanga Kaskazini, wilaya Kigoma Mjini, mkoa Kigoma...
  4. N

    Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

    Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct. Sehemu ya kwanza. Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini...
  5. Pascal Mayalla

    Tum-judge Rais Samia kwa mawazo, maneno, na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na siyo kwa alivyokuwa VP!

    Wanabodi, Mimi ni mtu wa mastori mastori hivyo kama wewe sio mtu unaependa mastori mastori just jump this. Self Proclaimed Psychoanalysis Teacher wa Jf Naomba nisikutajie majibu yake, ila na mimi naomba kujiita humu Jf ni mwalimu wa somo liitwalo Psychoanalysis na nawaomba mnikubalie na...
  6. Allen Kilewella

    Maneno ya wana CCM hupinganana na matendo yao

    Chunga sana maneno ya wana CCM. Akisema haji jua anakuvizia aje kwa kustukiza. Maneno na matendo yao hupingana siku zote. Waliposema Elimu Bila malipo ni jambo lisilowezekana, waliposhinda uchaguzi wakasema wanatoa Elimu bila ya malipo. Wakisema kuwa wanataka nchi iwe na amani, wao humaanisha...
  7. Robert S Gulenga

    Ushauri kwa Vijana waliopewa Madaraka kuhusu Maneno na Matendo yao wanapokuwa madarakani

    Vijana mliopewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania wenzenu iwe kwa ngazi ya Kitaifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata,Kijiiji au kitongoji, Chungeni saana ndimi zenu, angalieni sana matendo yenu, angalieni saana Mienendo yenu,tendeni haki Watumikieni Watanzania kuwaletea Maendeleo kwani cheo ulichopewa...
  8. Augustine Moshi

    Hujuma na maneno bila matendo

    Kuna harufu ya hujuma wwenye mifumo ya malipo ya serikali. Mwanzo ilifanya kazi. Sasa ni kazi sana kuitumia. Mimi nina siku nyingi sasa za kujaribu kulipa kodi za ardhi na gharama za maegesho kwa njia ya mifumo ya kulipa kwa kielektroniko bila mafanikio. Siku za nyuma nimelipa kodi na tozo...
  9. Pascal Mayalla

    Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Karibuni. Pasco
  10. Masokotz

    Uhusiano kati ya malengo yako na matendo yako

    Habari za wakati huu; Tunaishi hapa duniani na maisha lazima yaendelee.Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu maisha yetu.Mjadala huu unahusu uhusiano uliopo kati ya malengo yako na matendo yako.Wengi wetu hatujui ila moja kati ya chanzo kikuu cha mkwamo katika maisha ni mgogoro au kupishana...
  11. R

    Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

    Hii issue imenishtua na kunisikitisha. Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2. Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
  12. Nigrastratatract nerve

    Mbowe ukituongopea sisi wanadamu Mungu anayajua matendo yako unayoyapata kwa sasa ni Karma ya kuwadanganya watu kwa muda mrefu toka hadharani utubu ut

    Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi...
  13. CCM Music

    Hivi ndivyo huko CCM watakavyojutia matendo yao waliyowatendea wapinzani..!

    Hivi sasa huko Marekani kuna mijadala inaibuka kwa kasi sana kwamba: Kwenye mifumo ya shule zao kuwepo na mafundisho kuhusu 'Slavery' ama kwa kifupi kuhusu Civil Rights Movements na hata kuhusu Dr. Martin Luther King Jr. Sasa moja ya hofu kuu kwenye hili ni kwamba: Wazungu na hasa watoto wa...
  14. S

    Matendo ya Sabaya: Ukweli ni kwamba tulipaswa kupata Serikali Mpya ila tatizo Katiba haisemi hivyo

    Ukifikiri kwa makini, wote waliokuwa mabosi wa Sabaya chini ya Magufuli na wakuu wote wa vgombo vya ulinzi na usalama hawakupaswa kuendelea kuwa madarakani leo hii ila katiba ndio tatizo kwani haitoa hata fursa ya kufanya uchaguzi tupate viongozi wengine ambao bila shaka wangekuja na watendaji...
  15. MGOGOHALISI

    Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

    Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
  16. B

    Kuiga na kuendeleza matendo ya Hayati Dkt. Magufuli, itasadifu?

    Nifahamuvyo mimi kila zama na kitabu chake Kinachoendelea nchini kutoka jeshi la polisi na wanasiasa waliojificha nyuma yao kwa kuwabana wapinzani wao katika siasa ni kutaka kuendeleza ya hayati lakini nawaza kwa sauti itawezekana? Hayati Dkt. Magufuli ni yeye tu kuwa kama yeye ni kuiga na...
  17. The Palm Tree

    Rais Samia, uongozi si hotuba zenye maneno matupu. Uongozi ni matendo yenye matokeo ya ulichotamka

    Mwendazake Rais John P. Magufuli alikuwa na sifa moja nzuri kwa kiongozi yeyote. Kusimamia utekelezaji wa kile alichoamini na kukiamua bila kujali matokeo yake yaani yawe wazuri au mabaya, hasi au chanya. Alikuwa ni aina ya viongozi "risk takers". Hakuogopa matokeo ya kushindwa. Nadhani ndiyo...
Back
Top Bottom