Tuliambiwa kuna maboresho makubwa ya uwanja wa Benjamin William Mkapa (BWM) Stadium, lakini kiuhalisia sijaona jipya lolote mpaka jana nilipoenda kuangalia mechi ya wananchi (timu bora Afrika Mashariki na kati kwa sasa).
Uwanja ni mchafu, vyoo vichafu, viti ni vilevile vya kizamani, kwa kifupi...