matengenezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

    Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii. Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
  2. Mamlaka zifanyie matengenezo kituo cha daladala Tabata Segerea

    Miundombinu ya hiki kituo imeharibika kiasi fulani na kutengeneza mashimo makubwa ambayo kwa kipindi hiki cha mvua yanahifadhi maji na kusababisha kero kwa wanaotumia kituo hicho. Kwanza panapitika kwa shida, usipokuwa makini unaogeshwa maji machafu na daladala au bajaji. Pia yale mashimo...
  3. R

    Ufafanuzi wa Serikali: Kuvuja maji Uwanja wa Mkapa ni sababu ya ukarabati mkubwa uwanjani hapo

    Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
  4. K

    Matengenezo ya Daraja la Kigongo Feri mpaka Busisi kulikoni?

    Jana tarehe 19/9/2023 nilipitia kivuko cha Kigongo Ferry mpaka Busisi, na kwa kawaida unapopitia pale utaona kazi zinavyofanyika kwa ajili ya matengenezo la daraja linalounga Kigongo Feri na Busisi. Kwa masikitiko yangu sikuona chochote kinachofanyika pale kama vile watu wamehama au wako...
  5. R

    Wizara ya Habari acheni kuonea watumishi maskini, mnawasimamisha kazi waliowashauri mtoe fedha za matengenezo ya mfumo wa umeme mkakataa?

    Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
  6. Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  7. Nahitaji fundi simu mwaminifu na mtulivu kwenye kazi yake, anayeijali kazi yake na ya mteja

    Fundi simu anahitajika. Awe K/Koo, Dar. Weka namba, kikubwa soma tangazo langu.
  8. Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu umezimwa tena kwa Matengenezo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mtambo huo umezimwa kuanzia leo Februari 23, 2023 hadi saa 6 usiku Februari 24, 2023 Maeneo yanayoathirika ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Maili 35, Misugusugu...
  9. Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  10. Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeweka picha hizi za MV Mwanza na kusema kuwa ndivyo hali ilivyo kufikia asubuhi ya Jumatano Januari 11, 2023:
  11. DAWASA kuzima mtambo wa Ruvu Juu kwa ajili ya matengenezo Januari 11, 2023

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema Mtambo huo utazimwa Januari 11, 2023 saa 12 asubuhi ili kufanya matengenezo ya Mabomba Makubwa ya Inchi 48 na 36 eneo la Mlandizi na Visiga. Maeneo yatakayokosa Maji ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza...
  12. Daraja la Wavuka kwa Miguu Kawe Bondeni lifanyiwe kidogo tena Matengenezo ili kuliimarisha

    Kuna sehemu kule Juu unaona kabisa Bati limeanza kuachia huku Lami iliyoko kwa kule Juu nayo ikianza Kuisha. Ni Daraja zuri ila liwe linafanyiwa Matengenezo na Uangalizi ili Kuliimarisha kwani kuna muda hata ukiwa kule Juu unasikia kabisa likinesa na Uimara wake kutia Shaka. Ombi langu hili...
  13. DAWASA: Matengenezo ya bomba la Maji yanaendelea, huduma kurejea baada ya kumaliza

    DAWASA YAWAHAKIKISHIA WAKAZI HUDUMA BAADA YA MATENGENEZO Na Crispin Gerald Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa Ruvu chini kuwa huduma ya maji itarejea ndani ya muda uliopangwa kufuatia matengenezo ya bomba kubwa la inch 54...
  14. Nini kimejificha nyuma kuahirisha matengenezo ya mfumo wa Luku?

    Jioni ya leo Agosti 17,2022 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa tangazo la kuahirisha zoezi la matengenezo kinga kwenye mfumo wa LUKU kama ilivyotangazwa mapema hivi leo asubuhi. Tangazo la awali lilisema Tanesco kuzima mfumo wa kununua Luku kwa siku 4 kuanzia Agosti 22 hadi 25 kuanzia...
  15. Matengenezo airport Mtwara kumalizika wiki ijayo, yafika 92%

    Serikali ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuboresha viwanja vya ndege nchini kutanua wigo wa kibiashara ili kuinua uchumi nchini. Katika ya viwanja vya ndege vilivyofanyiwa Marekebisho nchini, kiwanja cha Mtwara matengenezo yake yamefikia 92% ambapo barabara ya kutulia ndege ilitanuliwa...
  16. Huu ni mgao wa umeme au matengenezo ya miundo mbinu ya umeme iliyochakaa?

    Kwa zaidi ya wiki na kitu sasa umeme unakatikakatika hovyo na mbaya zaidi unakatika bila hata taarifa. Leo umekatika na tumeshindwa hata kuangalia mtanange kati ya Coastal Union na Azam Fc. Waziri mwenye dhamana huwa na kauli mbiu mbili tu. Mgao au matengenezo ya miundombinu chakavu. Atuambie...
  17. TANESCO Kilimanjaro yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    Salaam Wakuu, TANESCO kilimanjaro imetoa ratiba ya matengenezo ya miundo mbinu na namna ambavyo mgao utafanyika kuanzia Februari 1 mpaka Februari 10. Tazama ratiba hii katika picha hizi hapa chini. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  18. January Makamba, ulianza na ukame, ukaja na kuchoka kwa mitambo, leo umekuja tena na matengenezo, ni vyema ukae pembeni

    Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi. TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za...
  19. G

    TANESCO Kibaha kulikoni?

    Ni siku ya tatu sasa umeme unakatika bila sisi wateja kujulishwa kama kuna matengenezo yoyote yanaendelea.Nashauri kama kuna marekebisho yoyote yanayofanyika ni vyema tukataarifiwa kwenye vyombo kwamba eneo flani litakosa umeme kwa muda flani ili kupisha maboresho katika miundombinu ya umeme...
  20. Dodoso la maswali 50 Kuelekea Sinodi ya 16 ya Maaskofu Mwaka 2023: Kanisa Katoliki Linapaswa Kutumia Zana Gani Katika Kuzisoma Alama za Nyakati?

    Papa Francis akiwa mimbari I. USULI Kitu kinachowaunganisha wanajumuiya ni imani ya pamoja kuhusu vitu vinavyoonekana na visivyoonekana (belief), kanuni za kimaadili zenye kutamka miongozo na miiko kuhusiana na matendo binafsi na matendo ya pamoja wakati wa kutekeleza ajenda ya pamoja (norms)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…