A material is a substance or mixture of substances that constitutes an object. Materials can be pure or impure, living or non-living matter. Materials can be classified based on their physical and chemical properties, or on their geological origin or biological function. Materials science is the study of materials and their applications.
Raw materials can be processed in different ways to influence their properties, by purification, shaping or the introduction of other materials. New materials can be produced from raw materials by synthesis.
In industry, materials are inputs to manufacturing processes to produce products or more complex materials.
Itatimia wakati flani ambapo utahitajika kuoa. Na kuoa huwa kuna harakati zake. Mtu hafai kuingia katika mpango wa ndoa bila ya kutambua yule ambaye ataona naye.
Ikija katika maswala ya kuoa, utaskia wengi wakitumia maneno kama wife material ama mke bora. So utamtambuaje mwanamke ambaye ni wife...
Stop being fooled by the illusion of wealth.
Big houses, expensive cars, designer items, and a fancy lifestyle are not wealth; they are debt.
Wealth is #time, #freedom, #options, and #health.
Do you trust this?😁😁😁
Je Wewe utaoa /kuolewa au utaoana na mwenza wako wa maisha? Maisha yamebadilika Sana zamani ungesikia, mwanamke akisema "huyu ni mume wangu, nimeolewa miaka mitano iliyopita ".Sasahivi utasikia "kuanzia tuoane 🤔ni mwaka sasa "!Je wewe ni muumini wa mrengo upi?
Mfumo wa haki sawa (feminism)...
Nimekuwaa nikitafakarii sana na kufanya uchunguzi kuhusiana na dhana ya "Wife material" Nimekuja kunguduaa kuwa wanawake wote ambao Wana akili timamu ni wife material inategemeana tu na Mwanaume aliyemuoa,,Wife material wa mwanaume X kutoka mkoa X hawezii kuwa Wife material akiolewa na Mwanaume...
Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia,
Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
Ni hulka ya binadamu kujaribu kufanya vitu vizuri, watanzia tulio wengi tunajipima na tunapimwa mafanikio kimaisha kupitia ujenzi, ukionekana pesa inapita mikoni mwako lakini huna nyumba inayoonekana ni nzuri utakosolewa sana na kupuuzwa kwa kiwango fulani, katika kuzunguka kwangu tanzania...
Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote...
POSITION TITTLE: MATERIAL ENGINEER (1 POST)
The Materials Engineer shall be responsible for conducting and supervising the materials investigation with a view to achieving optimal design and construction strategy.
He/She shall carry out the pavement design and should be conversant with current...
Ref. No. C. AB/322/338/02/05
The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in...
Naomba kujua hili la material ya bati. Nataka mabati kutoka china ila swala la material namba hizi zinanichanganya.
Kwa wataalam namba hipi ndo materila nzuri.
DX51D, DX52D, DX53D, DX54D, DX56D, DX57D nataka nitumie kwenye nyumba, na unaweza kunishauri.
, nimegoogle sijapata jibu sahihi.
Asante.
Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia...
Habari wakuu poleni na majumu,
Kutokana na changamoto naiona watu kuomba sana gharama za materials ya ujenzi, naomba niwape taarifa kua naweza kukupatia gharama zako zote za ujenzi kuanzia msingi, boma na uezekaji wa paa, nakuandalia schedule of material au BOQ, kwa gharama nafuu kabisa...
Ref. No. AB.267/322/01/27
The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in...
Kwa Mabinti/Wife Material tu! Nasisitiza uzi huu ni kwa mabinti/wife material tu. Mwanaume usijishughulishe kwa sababu haukuhusu. Nitamshangaa sana mwanaume atakaye-comment hapa. Pili, hata kwa mabinti nitajibu message zilizotumwa INBOX tu! Mimi sijibu message yoyote ya public.
Well, mimi ni...
Naombeni connection kuhusu kupata material ya kutengeza bracelets
Nipo Arusha
Huku materials yanauzwa ghali sana, mwenye mawasiliano au maelekezo wapi naweza kupata nikiwa Dar es salaam anisaidie tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.