material

A material is a substance or mixture of substances that constitutes an object. Materials can be pure or impure, living or non-living matter. Materials can be classified based on their physical and chemical properties, or on their geological origin or biological function. Materials science is the study of materials and their applications.
Raw materials can be processed in different ways to influence their properties, by purification, shaping or the introduction of other materials. New materials can be produced from raw materials by synthesis.
In industry, materials are inputs to manufacturing processes to produce products or more complex materials.

View More On Wikipedia.org
  1. Tabia za mwanamke wa kuoa (wife material)

    Itatimia wakati flani ambapo utahitajika kuoa. Na kuoa huwa kuna harakati zake. Mtu hafai kuingia katika mpango wa ndoa bila ya kutambua yule ambaye ataona naye. Ikija katika maswala ya kuoa, utaskia wengi wakitumia maneno kama wife material ama mke bora. So utamtambuaje mwanamke ambaye ni wife...
  2. Wealth goes beyond material possessing (intelligent only) do accept this?

    Stop being fooled by the illusion of wealth. Big houses, expensive cars, designer items, and a fancy lifestyle are not wealth; they are debt. Wealth is #time, #freedom, #options, and #health. Do you trust this?😁😁😁
  3. Feminist huoana, wife material huolewa. Je, unaoa/kuolewa au mnaoana?

    Je Wewe utaoa /kuolewa au utaoana na mwenza wako wa maisha? Maisha yamebadilika Sana zamani ungesikia, mwanamke akisema "huyu ni mume wangu, nimeolewa miaka mitano iliyopita ".Sasahivi utasikia "kuanzia tuoane πŸ€”ni mwaka sasa "!Je wewe ni muumini wa mrengo upi? Mfumo wa haki sawa (feminism)...
  4. Hakuna mwanamke ambaye sio wife material

    Nimekuwaa nikitafakarii sana na kufanya uchunguzi kuhusiana na dhana ya "Wife material" Nimekuja kunguduaa kuwa wanawake wote ambao Wana akili timamu ni wife material inategemeana tu na Mwanaume aliyemuoa,,Wife material wa mwanaume X kutoka mkoa X hawezii kuwa Wife material akiolewa na Mwanaume...
  5. Utofauti wa dini ulivyonifanya nikamkosa wife material, nataka kubadilisha dini je, nimerogwa?

    Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia, Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
  6. M

    Material hizi zimepitwa na wakati

    Ni hulka ya binadamu kujaribu kufanya vitu vizuri, watanzia tulio wengi tunajipima na tunapimwa mafanikio kimaisha kupitia ujenzi, ukionekana pesa inapita mikoni mwako lakini huna nyumba inayoonekana ni nzuri utakosolewa sana na kupuuzwa kwa kiwango fulani, katika kuzunguka kwangu tanzania...
  7. K

    Ushauri tu kwa dada zangu, Seminary na madrasa boy ndio husband material

    Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote...
  8. Material Engineer at TANROADS Singida

    POSITION TITTLE: MATERIAL ENGINEER (1 POST) The Materials Engineer shall be responsible for conducting and supervising the materials investigation with a view to achieving optimal design and construction strategy. He/She shall carry out the pavement design and should be conversant with current...
  9. Material Engineer at TANROADS

    Ref. No. C. AB/322/338/02/05 The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in...
  10. Material nzuri ya bati

    Naomba kujua hili la material ya bati. Nataka mabati kutoka china ila swala la material namba hizi zinanichanganya. Kwa wataalam namba hipi ndo materila nzuri. DX51D, DX52D, DX53D, DX54D, DX56D, DX57D nataka nitumie kwenye nyumba, na unaweza kunishauri. , nimegoogle sijapata jibu sahihi. Asante.
  11. Wife Material akuje!

    Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu: Sifa zangu: Miaka 40 Elimu : shahada ya kwanza Dini : mkristo ( mkatoliki) Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali Location : Dar Es salaam Mchumba awe angalau na sifa hizi 1. Awe mkristo ispokuwa msabatho 2. Umri kuanzia...
  12. Tunauza ramani na kufanya ukadiriaji wa material ya ujenzi

    Habari wakuu poleni na majumu, Kutokana na changamoto naiona watu kuomba sana gharama za materials ya ujenzi, naomba niwape taarifa kua naweza kukupatia gharama zako zote za ujenzi kuanzia msingi, boma na uezekaji wa paa, nakuandalia schedule of material au BOQ, kwa gharama nafuu kabisa...
  13. Material Engineer at TANROADS Arusha

    Ref. No. AB.267/322/01/27 The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in...
  14. B

    Binti/Wife Material upo? Boy-Friend yupo hapa

    Kwa Mabinti/Wife Material tu! Nasisitiza uzi huu ni kwa mabinti/wife material tu. Mwanaume usijishughulishe kwa sababu haukuhusu. Nitamshangaa sana mwanaume atakaye-comment hapa. Pili, hata kwa mabinti nitajibu message zilizotumwa INBOX tu! Mimi sijibu message yoyote ya public. Well, mimi ni...
  15. Unamfahamuje wife material?

    Habari wanabodi wa MMU, Hivi ni kigezo gani wanaume wanakitumia kusema huyu mwanamke ni wife material?
  16. Ivi wife material yafaa awee na umbo la aina gani..

    1)Mwenye msabwanda alafu awe medium kiwango 2)mwenye mwili ndogo ana mbsabwanda la kichizii na awe medium 3)mfupi mnono Wakuu wapi ndo sure bet
  17. Wanaouza material ya kutengeneza bracelets

    Naombeni connection kuhusu kupata material ya kutengeza bracelets Nipo Arusha Huku materials yanauzwa ghali sana, mwenye mawasiliano au maelekezo wapi naweza kupata nikiwa Dar es salaam anisaidie tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…