Acha niwaambie straight, what is this bullshit mnafanya kwa wananchi?! Mnadhulumu, mnatesa, mnanyanyasa raia wanyonge as if this country is y’all private property. Mnaona hii ni power? Hapana, hiyo ni temporary illusion of control — mtalipa.
Mnaonea watu maskini mitaani, mnafungia watu bila...