Viongozi wa Jeshi la Polisi mnafanya madhambi kwa kiburi, acheni kuonea watu tafadhari

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Acha niwaambie straight, what is this bullshit mnafanya kwa wananchi?! Mnadhulumu, mnatesa, mnanyanyasa raia wanyonge as if this country is y’all private property. Mnaona hii ni power? Hapana, hiyo ni temporary illusion of control — mtalipa.

Mnaonea watu maskini mitaani, mnafungia watu bila sababu, mnatesa waandamanaji walioko kwenye haki yao ya kikatiba ya kutoa maoni — na mbaya zaidi, viongozi wenu ndio wanatoa hizo amri kinyume cha sheria.

Hii ni orodha ya baadhi ya viongozi wa polisi waliowahi kutajwa au kuhusishwa na matendo haya ya kinyume cha haki za binadamu:

Simon Sirro (Aliyekuwa IGP)—alitajwa mara kadhaa kipindi cha uchaguzi na maandamano ya upinzani kuhusika na ukandamizaji.

Camillus Wambura (IGP wa sasa)—amekuwa kimya sana kwenye matukio ya ukatili yanayohusisha askari wake; kimya kinamaanisha complicity.

Ramadhani Kingai — alihusishwa moja kwa moja kwenye kesi ya Mbowe, ambapo kulikuwa na madai ya mateso ya mahabusu na kufabricate charges.

ACP Zuberi Mwombeji — jina lake liliwahi kutajwa kwenye ripoti za kukamata watu kisiasa na kuwasweka ndani bila kufuata sheria.

Sasa turudi kwenye sheria mnazovunja kwa makusudi:

1. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 13(6)(a): Kila mtu ana haki ya kusikilizwa kwa haki mbele ya chombo cha maamuzi. — Mnaweka watu ndani bila kuwapeleka mahakamani ndani ya saa 24. Mko juu ya katiba?

2. Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), Sura ya 20, Kifungu cha 32-33 — Polisi anatakiwa kumfikisha mtu mahakamani haraka, sio kumweka mahabusu kwa siku 10 bila sababu. Hii ni dhuluma.

3. Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi, Sura ya 322 — Askari anatakiwa kuwa mtu wa amani, lakini nyie mmekuwa source ya fear mitaani.

4. Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 — Mnakamata watu halafu mnaleta ushahidi wa uongo, mnasingizia silaha, dawa za kulevya — while y’all know y’all planted them. That’s criminal!

Adhabu kwa kuvunja hizi sheria ni kali, kama kweli sheria zingeenda kwa wote:

Kuweka mtu ndani kinyume cha sheria: kifungo hadi miaka 7 au faini kubwa.

Kutoa amri ya kumtesa mtu au kumdhalilisha: hilo ni kosa la jinai, na pia ukiukwaji wa haki za binadamu — unaweza kushtakiwa kimataifa (ICC jurisdiction ipo).

Kuingilia uhuru wa kutoa maoni na maandamano: adhabu ni kulipa fidia kubwa kwa walionyanyaswa — kama tungekuwa na mahakama huru, mnafunga wote.

Sasa listen up — hii mnayofanya sio kazi ya polisi, hii ni kuwa criminal in uniform. Mnaangamiza maisha ya watu, familia zinapotea, wengine wanapotezwa, wengine wanapigwa hadi kupoteza viungo, wengine mnawapiga risasi hadharani — WHY?! Just because you can?

Hakuna mtu aliyewahi kudhulumu na akaishi kwa amani, si duniani, si kaburini, wala mbinguni. Mtajenga nyumba za kifahari, magari ya kifahari, mlipe waandishi wa kuwasifia — lakini jasho la maskini litawaandama hadi mkufe. Mnaishi kwa damu na kilio cha watu.

Polisi wenzenu ambao bado wana utu — yo, wake up homie, stop being used like fucking pawns in a political chessboard. Your job is not to oppress, it’s to protect. Usifanye kazi kama dog wa system iliyo corrupt. You're better than that — unless you choose to be trash.

Final word: Stop this abuse. Stop being tools of oppression. Stop ignoring the constitution. The people are not afraid anymore. Wataamka, wataandika, watasema — na hawatasahau!
 
Tuendelee hivi hivi na LAANA za mtandaoni, hivi hivi, sisiemu watatusikia tu siku moja...tusijali, ipo siku tu watakuwa wakristo na kutusikiliza!

Ameeen.
 
Acha niwaambie straight — what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala is this bullshit mnafanya kwa wananchi?! Mnadhulumu, mnatesa, mnanyanyasa raia wanyonge as if this country is y’all private property. Mnaona hii ni power? Hapana, hiyo ni temporary illusion of control — mtalipa.

Mnaonea watu maskini mitaani, mnafungia watu bila sababu, mnatesa waandamanaji walioko kwenye haki yao ya kikatiba ya kutoa maoni — na mbaya zaidi, viongozi wenu ndio wanatoa hizo amri kinyume cha sheria.

Hii ni orodha ya baadhi ya viongozi wa polisi waliowahi kutajwa au kuhusishwa na matendo haya ya kinyume cha haki za binadamu:

Simon Sirro (Aliyekuwa IGP) — alitajwa mara kadhaa kipindi cha uchaguzi na maandamano ya upinzani kuhusika na ukandamizaji.

Camillus Wambura (IGP wa sasa) — amekuwa kimya sana kwenye matukio ya ukatili yanayohusisha askari wake, kimya kinamaanisha complicity.

Ramadhani Kingai — alihusishwa moja kwa moja kwenye kesi ya Mbowe, ambapo kulikuwa na madai ya mateso ya mahabusu na kufabricate charges.

ACP Zuberi Mwombeji — jina lake liliwahi kutajwa kwenye ripoti za kukamata watu kisiasa na kuwasweka ndani bila kufuata sheria.

Sasa turudi kwenye sheria mnazovunja kwa makusudi:

1. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 13(6)(a): Kila mtu ana haki ya kusikilizwa kwa haki mbele ya chombo cha maamuzi. — Mnaweka watu ndani bila kuwapeleka mahakamani ndani ya saa 24. Mko juu ya katiba?

2. Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), Sura ya 20, Kifungu cha 32-33 — Polisi anatakiwa kumfikisha mtu mahakamani haraka, sio kumweka mahabusu kwa siku 10 bila sababu. Hii ni dhuluma.

3. Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi, Sura ya 322 — Askari anatakiwa kuwa mtu wa amani, lakini nyie mmekuwa source ya fear mitaani.

4. Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 — Mnakamata watu halafu mnaleta ushahidi wa uongo, mnasingizia silaha, dawa za kulevya — while y’all know y’all planted them. That’s criminal!

Adhabu kwa kuvunja hizi sheria ni kali, kama kweli sheria zingeenda kwa wote:

Kuweka mtu ndani kinyume cha sheria: kifungo hadi miaka 7 au faini kubwa.

Kutoa amri ya kumtesa mtu au kumdhalilisha: hilo ni kosa la jinai, na pia ukiukwaji wa haki za binadamu — unaweza kushtakiwa kimataifa (ICC jurisdiction ipo).

Kuingilia uhuru wa kutoa maoni na maandamano: adhabu ni kulipa fidia kubwa kwa walionyanyaswa — kama tungekuwa na mahakama huru, mnafunga wote.

Sasa listen up — hii mnayofanya sio kazi ya polisi, hii ni kuwa criminal in uniform. Mnaangamiza maisha ya watu, familia zinapotea, wengine wanapotezwa, wengine wanapigwa hadi kupoteza viungo, wengine mnawapiga risasi hadharani — WHY?! Just because you can?

Hakuna mtu aliyewahi kudhulumu na akaishi kwa amani, si duniani, si kaburini, wala mbinguni. Mtajenga nyumba za kifahari, magari ya kifahari, mlipe waandishi wa kuwasifia — lakini jasho la maskini litawaandama hadi mkufe. Mnaishi kwa damu na kilio cha watu.

Polisi wenzenu ambao bado wana utu — yo, wake up homie, stop being used like fucking pawns in a political chessboard. Your job is not to oppress, it’s to protect. Usifanye kazi kama dog wa system iliyo corrupt. You're better than that — unless you choose to be trash.

Final word: Stop this abuse. Stop being tools of oppression. Stop ignoring the constitution. The people are not afraid anymore. Wataamka, wataandika, watasema — na hawatasahau!
Final
 
Mimi nikafiri utasema, Sasa sisi wananchi tunaenda kuitumia Katiba kuwafungulia kesi na kuwafunga. Kumbe unawalaani tu! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom