mathematics

  1. A

    PCM TUTION CENTRE. WE TEACH PHYSICS, CHEMISTRY, AND MATHEMATICS FOR A- LEVEL AND PRE FORM FIVE. (0625012562; 0782044028)

    Be competence in PHYSICS, CHEMISTRY AND MATHEMATICS. A- LEVEL & PRE- FORM FIVE. We are at TEGETA, Dar Es Salaam. 0625012562; 0782044028 WELCOME.
  2. A

    NAFUNDISHA MASOMO YA PHYSICS, CHEMISTRY, NA MATHEMATICS KWA A- LEVEL NA PRE- FORM FIVE. (0625012562)

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya home Teaching pia. Tunapatikana TEGETA, Dar Es Salaam. Mawasiliano: 0782044028(Whatsapp) 0625012562. KARIBUNI SANA
  3. A

    NAFUNDISHA MASOMO YA PHYSICS, CHEMISTRY NA MATHEMATICS KWA A- LEVEL, NA PRE FORM V (0625012562; 0782044028)

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya na home Teaching pia Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp) 0625012562
  4. A

    Nafundisha masomo ya Physics, Chemistry na Mathematics kwa A- level, na pre- form v

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya na home Teaching pia Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp) 0625012562
  5. A

    NAFUNDISHA PHYSICS, CHEMISTRY NA MATHEMATICS kwa A LEVEL na Pre- FORM V (0625012562)

    Jiandae vyema kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp); 0625012562
  6. Chemsha Bongo: Mabingwa wa Mathematics

    Hebu tusaidie mabingwa hapo hiyo ksh 10 imetoka wapi?
  7. M

    usaili kada ya elimu somo LA mathematics umenishangaza

    kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono. kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule sio kuzuri kabsa .
  8. S

    Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  9. Mwalimu wa Physics na Mathematics (form 1-6) anahitajika mshahara mnono.

    Vigezo 1. Jinsia yoyote 2. Ayamudu masomo yote vizuri o level na A level 3. Uzoefu wa miaka kuanzia 2 4. Akiwa muislamu atapewa kipaumbele zaidi. Kazi haina udalali tuwasiliane hapa <karibukwetutu@gmail.com> Tuma vyeti yako kwa email hiyo na CV yako.
  10. Kitabu bora cha Mathematics O-level

    1. Kitabu kina topics zote Form 1 hadi 4 2. 29 Chapters, 505 pages, full colour. 3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina exercise yake. 4. Kila Topic ina revision exercise ya maswali 50 hadi 100 5. Kuna mitihani 10 ya samples 6. Kuna chapter nzima (maswali 90) ya...
  11. Korea Kusini iliyoendelea kila nyanja watu wake hawazaliani sana lakini Afrika Maskini watu wanazaliana mno

    Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea. . Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali hasa za kisayansi Science mathematics na innovations ziko kwenye risky sana kupoteza hawa jamaa...
  12. Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  13. Tatizo la ufaulu duni wa masomo ya Mathematics na Physics bado halijaeleweka!

    ...
  14. R

    Tuongee science kidogo: Why is the principle of simple common sense not accepted in mathematics?

    Tupumzishe siasa kidogo kwa ku refresh mind with intellect thinking. Angali common sense kwanini haikubaliki always kwenye maths and other fields of science. Common sense itakwambia kuwa kila inapoongezeka dot moja, maumbo yanakuwa mara dufu! Lakini inapotokea dot sita, common sense inakuwa...
  15. R

    Tukumbushane hesabu kidogo! We need mathematics in our daily life

    Can all the laws of physics be expressed as a set of mathematical equations? Yes, Mambo ya kufikirika :D :D :D :D :D :D :D :D :D Albert Einstein giving a lecture on relativity at a historically black university in 1946. His peers scrutinized him for it and the press ignored it...
  16. Basic Mathematics and Advanced Mathematics examination series

    Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematics series kila siku ya jumamosi. Wanafunzi katka vidato husika endapo watafanya mitihani hiyo ni vyema wanitumie mitihani yao PM kwa mfumo was PDF na nitawawasahihishia...
  17. Nashauri somo la physics liwe option kuanzia form one, mathematics liwe option pia

    Au mwalimu mpwayungu village unasemaje? Hii ni thathmini fupi ya masomo ya physics na mathematics kwenye matokeo ya form two yaliyotoka juzi. 1. PHYSICS A - 0.4% (2,519) B - 0.77% (4,874) C - 4.73% (29,851) D - 12.30% (77,586) F - 81.79% (515,734) 2. MATHEMATICS A - 1.96% (12,389) B - 1.35%...
  18. Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho. Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
  19. Mwalimu wa Chemistry na Mathematics anahitajika

    1.Anahitajika mwalimu anayeweza kufundisha o level Chemistry na Mathematics 2.Starting salary 400,000/= wakati wa probation ya miezi mitatu 3.Shule iko kibaha 4.Nitumie Cv yako inbox
  20. Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

    Kuna scientific calculator na Calculator ya simu. Zote zimepewa hesabu inayofanana lakini majibu yako tofauti!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…