Kama unahitaji home tuition kwa mwanao kwa masomo tajwa hapo juu basi upo mahali sahihi. Nakuja nyumban kwa maeneo yote ya Karibu na Kimara, Mbezi, Ubungo, Kawe mpka Tegeta na Bunju, Masaki, Kurasini Airpot, Goba, Mikocheni n.k
DM ipo wazi, Karibu.
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Mimi Infantry Soldier nipo mzima wa afya.
UTANGULIZI: MUUNDO WA MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA KWA UFUPI.
Mfumo wa elimu wa kitaifa kwa hapa Tanzania una ngazi kuu nne. Kwanza miaka saba ya elimu ya msingi ya lazima (kuanzia umri wa miaka sita)...
Leo nilikuwa natafuta swali la jumla ya idadi ya nishati ulimwenguni, imepelekea kunistua na kuyumbisha concept ya draga ya God is the ENERGY na kuipaisha concept ya a4afrika ya God is the LOGIC. Na kuibakisha imara kabisa concept ya Uhakika Bro ya kwamba God is the IDEA!!
Someni hii scientific...
Naleta swali hili kwenu nyinyi wataalum wa hesabu. Je, Mathematics inaweza kutufunulia siri za ulimwengu..?
Nimekuwa nikisikia kuwa hesabu na matendo yake kama tutaweza kuzitumia vyema basi tunaweza kutambua siri kadhaa za ulimwengu!!.
Inamaanisha hesabu ni lugha ya ulimwengu so ni vile tu...
The Al Muntazir Schools are managed under the auspices of KSIJ Central Board of Education, a Non-Profit Organization, providing quality education to students from multicultural backgrounds and it comprises of five Schools spreading over three campuses, providing education at Toddlers, Nursery...
Naitwa Pastory Augustino
Nipo morogoro
Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee,
Level yangu ni diploma
Habari za mda huu wadau wa JamiiForums,
Mimi ni Kijana. Naishi Dar es Salaam. Natafuta wanafunzi wa kuwafundisha tuition mfumo wa TABLE TEACHING.
MASOMO YA KUFUNDISHA
O-level : Physics, Chemistry, na Basic Mathematics.
A-level : Advanced Mathematics pekee
OMBI
Ewe mdau hususan wazazi/walezi...
Hawa wasomi wanashangaza.
Hivi ninyi ni walimu?🤣
Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.
Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?
Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣
Anyway, mimi sijui.
This is because they don't understand most topics in mathematics hence resulting in students mass failure in mathematics exams.
Dar es Salaam. Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu.
Hatua hiyo ni baada ya Serikali...
Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.
Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc...
Wakuu, nawasalimu!
Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16.
S............
F
16
I
CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY -...
Kwa mara nyingine nawaletea tena fursa hii adhimu.
Tunahitaji mwalimu wa somo la Mathematics (preferably male) ambae atafundisha primary school iliyopo Zanzibar.
Shule ina mazingira mazuri sana ya utendaji kazi.
Working hours: 8 hours per day
Number of students in the class: Not more than 24...
Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi...
Habari wana JF,
Shule ya sekondari ya ST. MONICA WINO GIRLS inatafuta mwalimu wa Physic na mathematics..
Andika Barua ya maombi na uambatanishe wasifu wako CV kwenda:
OFISI YA MKUU WA SHULE,
SHULE YA SEKONDARY ST. MONICA WINO GIRLS,
S. L. P 69,
MADABA.
au
stmonicawino2019@gmail.com au...
Habari za muda huu wakubwa, I hope mko fresh kabisa, safi kama safi, safi kama poa, Poa kama good, Hivi kama hivi yaani..Anyways acha niende direct kwenye mada.
Bas bhana kuna teacher mmoko enzi za Masekondari uko ambae siezi msahau alikua na wenge shazi pia alikua hodari kinyax kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.