Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilindi, Mathias Cosmas (maarufu kama Mpendakula), amejibu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwa kile alichodai kuwa ni kutolewa kwa lugha ya dhihaka ya kuitwa "mbwa."
Akizungumza mbele ya wanahabari, Mathias...