Kwa mara ya kwanza Rwanda imekiri kuwa inashirikiana na kundi la waasi wa AFC/M23 katika vita vinavyoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mathilde Mukantabana ameiambia kamati ya Bunge la Marekani kwamba Rwanda imekuwa ikifanya hivyo kwa...