matibabu bure bado haitufikii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge, Jesca Yuda Mbogo: Sera ya Matibabu bure haitufikii vyema wanawake, Unakwenda kujifungua unaambiwa utachangia matibabu

    Sera ya matibabu bure haitufikii vyema wanawake, kumwambia Mwanamke wa kijijini achangie 250,000 kwa ajili ya upasuaji, ni gharama kubwa sana hivyo wanawake wanaona bora wakajifungulie nyumbani Hayo ameyasema leo 12 Mei 2026, Bungeni Dodoma, wakati akichangia hoja bungeni kuhusu bajeti ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…