Mbunge, Jesca Yuda Mbogo: Sera ya Matibabu bure haitufikii vyema wanawake, Unakwenda kujifungua unaambiwa utachangia matibabu

Mbunge, Jesca Yuda Mbogo: Sera ya Matibabu bure haitufikii vyema wanawake, Unakwenda kujifungua unaambiwa utachangia matibabu

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Sera ya matibabu bure haitufikii vyema wanawake, kumwambia Mwanamke wa kijijini achangie 250,000 kwa ajili ya upasuaji, ni gharama kubwa sana hivyo wanawake wanaona bora wakajifungulie nyumbani

Hayo ameyasema leo 12 Mei 2026, Bungeni Dodoma, wakati akichangia hoja bungeni kuhusu bajeti ya Wizara ya Afya

Pia Soma: Kujifungua kwa upasuaji Muhimbili ni anasa kwa wajawazito? Gharama ni ghali
 
Hiyo sera haifanyi kazi tena inachotakiwa ni serikali waje na sera mpya ambayo inaendana na uhalisia

Mwenyew hapa nasubiri Bill nilipie huduma mkewangu niendenae nyumbani
 
Back
Top Bottom