matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Taasisi ya MOI yasema inatoa msamaha wa Tsh. Bilioni 3 kila mwaka kwa wagonjwa wanaokosa gharama za matibabu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
  2. Mparee2

    Maoni kuhusu suala la wagonjwa walioshindwa kulipa gharama za matibabu hospitali ya Muhimbili

    Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni. Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
  3. JanguKamaJangu

    Rwanda yaipa Gaza msaada wa chakula, dawa na vifaa vya matibabu

    Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas. Naibu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Rwanda, Alain Mukuralinda amesema misaada hiyo imefikishwa kupitia...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Assa Makanika: Wananchi changamkieni fursa za matibabu ya bure

    MBUNGE ASSA MAKANIKA: WANANCHI CHANGAMKIENI FURSA ZA MATIBABU YA BURE WANANCHI KIGOMA WAPATA MATIBABU BURE Madaktari Bingwa 11 kutoka nchini China 🇨🇳 wameweka kambi ya Siku 5 katika Halmashauri ya Kigoma ili kutoa matibabu ya bure kwa wananchi wa Kigoma na kutoa huduma za upasuaji na Masuala...
  5. BARD AI

    Bugando: Kati ya Wagonjwa wa Afya ya Akili 5,000 wanaofika Hospitali, 500 wanahitaji Matibabu Maalumu

    Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka. Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
  6. kavulata

    Beki Che Malone Fondoh ni mgonjwa, anahitaji matibabu ya haraka

    Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya Mikocheni jirani na shule ya FEZA. Hata kama mchezaji wetu huyu kisiki Che Malone hakupata majeraha ya mwili...
  7. Heparin

    NADHARIA Nadharia mbalimbali kuhusu Maambukizi na Matibabu ya VVU na UKIMWI

    VVU/UKIMWI vinasalia kuwa janga kuu la afya ya Umma duniani, janga lililogunduliwa zaidi ya miaka 40 iliyopita likiwa limechukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40.4 huku maambukizi yakiendelea katika nchi zote duniani. Hadi kufukia mwishoni mwa mwaka 2022, kulikuwa na wastani wa watu milioni...
  8. D

    Naomba ufafanuzi kuhusu Matibabu ya masikio

    Habarini Wana jukwaa. Naomba kwa mwenye taarifa juu ya operation za cochlear implant surgery kwa Tanzania na gharama yake na hospitals zinazotoa huduma hii pia anijulishe kwa upana zaidi.
  9. Roving Journalist

    Watu 335 wafanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo kwa siku mbili katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Watu 335 wamepata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kwenye kambi maalumu ya matibabu ya siku mbili iliyomalizika jana katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group. Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dkt.Tulizo Shemu alisema matibabu hayo ya tiba mkoba yajulikanayo...
  10. Roving Journalist

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yatoa mafunzo ya matibabu ya Teknolojia ya Nyuklia

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Nguvu za Atomic, International Atomic Energy Agency (IAEA), imetoa mafunzo ya matibabu ya Teknolojia ya Nyuklia kwa wataalamu 18 kutoka mataifa 15 ya Afrika. Mafunzo hayo yamezinduliwa Septemba 4, 2023 katika...
  11. Roving Journalist

    JKCI: Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo

    Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kupitia huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kama Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...
  12. JanguKamaJangu

    Serikali ya Saudi Arabia kusaidia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana

    Serikali ya Saudi Arabia itasaidia na kusimamia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana Hussen na Hassan wenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11 wakazi wa Mkoa wa Tabora ambao wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi...
  13. BARD AI

    WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
  14. R

    Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
  15. MSAGA SUMU

    Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

  16. BigTall

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) – Hospitali ya Dar Group yaboresha huduma za matibabu ya moyo

    Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt.Tulizo Shemu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mashine mbili za kisasa za kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram – ECHO) zilizofungwa...
  17. John Haramba

    75% ya Wagonjwa wa Saratani wanaofika Hospitali kwa ajili ya matibabu wanakuwa wamechelewa

    Katika kuwafanya Wananchi wengi kuwa na ufahamu kuhusu Ugonjwa wa Saratani na kuwapa elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ya kiafya, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaendelea na mchakato wa kutembelea mikoa tofauti kutoa elimu na mafunzo kuhusu ugonjwa huo. Meneja wa Kitengo cha...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bupe Mwakang'ata aibana Serikali kuhusu Matibabu ya Afya kwa Wazee

    "Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa "Sera ya Afya ya mwaka 2007 kifungu cha tano (3)(4c) kinaeleza kuwa huduma za afya ya uzazi ikiwemo kuhudhuria...
  19. IamBrianLeeSnr

    Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
Back
Top Bottom