matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LellozWho

    Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

    Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu. Lakini Nina swali moja nakosaga jibu. Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua. Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
  2. Sanaguofficial

    Athari za Ongezeko la Tozo mpya za Miamala ya Simu kwa Watanzania

    Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania 1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
  3. C

    Waziri wa Afya, hizi gharama za matibabu Tumbi Hospital zinatisha

    Waziri wa Afya niombe uimulike hii hospital iliyopo mkoa wa pwani! Gharama za huduma ni kubwa mnoo! Mfano ukaenda pale kutibiwa gharama ya kujiandikisha ili umwone daktari ni Tsh 5000/= halafu anayehudumia ni intern. Gharama za kupima malaria (MRDT) ni tsh 6000. Hapo bado huduma nyingine, bado...
  4. Marathon day

    Pendekezo: Matibabu ya Malaria yawe bure

    Nashauri serikali yetu tukufu wafikirie Malaria tiba yake iwe Bure. Mfano Kenya matibabu na vipimo vya Malaria ni Bure Kama sijakoaea. Fikiria mtu kupima malaria ni Bure ila ukija upande wa tiba inakua mtihani. Maeto ambao unahati punguzo (nembo ya Jani) mahospitalini hazionekani, badala yake...
  5. Analogia Malenga

    DC Msafiri apiga marufuku watoto chini ya miaka mitano kulipia matibabu

    Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kituo cha afya Makambako kuacha mara moja kuwatoza fedha watoto chini ya miaka mitano kwa ajili ya matibabu kwa kuwa ni kinyume na sera ya Afya. Akizungumza na kituo hiki kufuatia malalamiko ya baadhi ya wanachi wa halmashauri ya mji wa makambako...
  6. S

    Rais Samia, amuru Tundu Lissu alipwe haki zake zote anazodai pamoja na hela ya matibabu

    Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi. Japo mini si kiongozi...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Maelekezo ya CHADEMA fedha za matibabu ya Mh.Ndugai hayakutekelezwa

    Kama mnakumbuka CAG Prof.Assad alihoji malipo ya matibabu ya Spika zaidi ya dola 12,000,000 mwaka 2017. Mpaka leo CAG hajajiridhisha na malipo Ndugai hajapeleka nyaraka kufunga hoja. Humu JF tunataka kuona nyaraka zote zinawasilishwa kwa CAG vyeti vya matibabu na madaktari walifanya...
  8. Kurzweil

    Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

    Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli. Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'...
  9. Miss Zomboko

    Wanawake Shinyanga walalamikia watoto wasio na bima kukosa matibabu

    BAADHI ya wanawake wenye watoto chini ya miaka mitano wilayani Shinyanga, Mkoani Shinyanga, wasio na bima ya afya ya CHF, wamelalamika kunyimwa matibabu ya watoto wao kwa kukosa kadi hizo. Wamepaza kilio hicho kwa nyakati tofauti kwenye sherehe wanawake wilayani Shinyanga iliyokuwa na lengo la...
  10. dubu

    Thomas: Baba yangu Arcado Ntagazwa, alikuwa akisumbuliwa na tatizo la changamoto ya kupumua na alipata matibabu mbalimbali

    Dar es Salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Chadema, Arcado Ntagazwa amezikwa nyumbani kwake Kimara jijini Dar es Salaam huku sababu ya kifo chake ikielezwa kuwa ni changamoto ya upumuaji. Waziri huyo wa zamani aliyehamia Chadema mwaka 2010 akitokea CCM, alifariki dunia Jumatano...
  11. K

    Gharama za matibabu ya homa inayosumbua inakatisha tamaa, wanyonge hatutoboi

    Habari kuhusu gharama za matibabu kwenye mahospitali makubwa nchini kwa watu wanaodhaniwa kuwa na Nimonia kali ni kubwa sana, serikali inapaswa kumulika hospitali hizi kuona kama hizi gharama ni halisi au zinapandishwa na wamiliki. Lakini pia ni muhimu kupata gharama elekezi kwa watu wanaopata...
  12. M

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  13. L

    Je, matibabu kwa mtoto wa jicho yapo?

    Habarini waungwana Ni kwa takriban 5yrs now tangia nifahamiane na mshkaj m1 ambae yuko na tatizo la mtoto wa jicho, tatizo linazidi kuwa kubwa yaani mpaka december inawez kuwa hatari zaidi. Then, naomba kujuzwa kama tatizo hili linatibika, na niwapi ambapo yapo hayo matibabu na pia ni kwa...
  14. U

    TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

    Ni huzuni Ni majonzi Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi - Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Mwili wa Mwendazake huyo utapumzishwa Jumatatu kwenye...
  15. J

    AFYA: Kwanini watu wanang’ata kucha? Zijue Dalili, Sababu na Matibabu

    Kung’ata kucha(Onychophagia) Tabia ya Kung’ata kucha inaweza kuwa haina madhara iwapo itakuwa ya muda labda wasiwasi wa urembo wa kucha lakini tabia hii inaweza kuendelea na kulifanya tatizo la kudumu. Kung’ata kucha kulikopitiliza(Onychophagia) kunaharibu kucha na tishu zilizozizunguka DALILI...
  16. Infantry Soldier

    Kuna hatua ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Kuna stage ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa. Familia masikini/fukara kuuza nyumba yao ya pekee ni pigo...
  17. S

    Naomba kujua gharama za matibabu ya Appendicitis

    Habari wana JamiiForums naomba msaada kwa yeyeto anaye jua gharama za matatibabu ya appendix
  18. U

    Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara. Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu. Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke. Marehemu hao wameacha...
  19. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 Serikali ya UPDP kutoa matibabu bure

    MGOMBEA urais kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema akichaguliwa, atahakikisha kila Mtanzania anapata tiba bure, kwa kuwa ni haki ya kila mwananchi. Alitoa ahadi hiyo kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Soko la Gungu Kwa Zulu Natal Manispaa ya Kigoma Ujiji. Aliomba wananchi...
  20. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
Back
Top Bottom