Habari wana JF
Nahitaji kujua ni makabila gani tanzania ambayo wasimamizi wa mambo yote na waratibu wa majukumu ya familia ni wanawake. (yaani ni makabila ambayo baba ni yupo kama picha ya mlinzi na mtoaji mahitaji ya familia na anahusika tu pale majukumu makubwa yanayohitaji maamuzi yametokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.