matukio ya kikatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mbeya: Askari wa JWTZ amuua Baba yake kikatili akimtuhumu ushirikina

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kutokea mauaji ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Edward Ndonde anayedaiwa kuuawa kikatili kwa kuchomwa visu na mtoto wake, Mussa ambaye ni mtumishi wa Ruvu JKT. Mussa anadaiwa kufanya mauaji...
  2. Gily Gru

    Kuna watu makatili kweli kweli, achoma paka moto akiwa hai

    Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea...
  3. Igande

    Laura Pettie: Hivi karibuni, matukio ya kikatili dhidi ya wanaume yanaibuka kwa kasi

    PETROLI TENA... Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya anayedaiwa kuwa mpenzi wake aitwaye kwa jina moja la Kelvin mkazi wa Mbezi Bondeni. ------------------------- Hili ni tukio lingine...
Back
Top Bottom