Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Petro Magoti ametoa kauli kadhaa kuhusu matukio ya uhalifu kama yalivyoripotiwa na Wananchi mbalimbali kupitia JamiiForums.com akisema kuwa “Mzee wa Show Show nipo hapa, nimelichukua na kila Mtu alinde Mwanaye ambaye ni Kibaka, asije kulaumu kuanzia sasa”...
Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu pamoja na kuchukua hatua stahiki kwa wahalifu hao.
Kauli hiyo imetolewa na wananchi hao...
Watanzania
Salaam!
Hanari za watu:-
Kutekwa,
Kujeruhiwa,
Kuuawa, na
Kupotezwa
Zimekuwa za kawaida lakini madhara yake kwa familia za wahanga ni makubwa sana. Ikumbukwr kuwa wahanga hao wana familia zinazowategemea, ada, afya, malazi, Chakula nk nk. Kutoweka kwao ghafla kwa mipango ya kishetani...
Kufuatia hali ya vitendo vya uhalifu miongoni mwa vijana, ni muhimu serikali ichukue hatua madhubuti ili kupunguza na kuzuia uhalifu huo. Tafiti zimeonyesha kuwa uhalifu wa vijana umekuwa ukipanda na kushuka kwa miaka mingi. Kwa mfano, idadi ya vijana waliouawa kwa mauaji iliongezeka kutoka 717...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.