Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi nyingine.
Mechi ijayo ya Yanga na Mazembe kwa Mkapa uwanja utajaa sana mashabiki kwenda kuipa sapoti...