matumaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SANCTUS ANACLETUS

    Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  2. SANCTUS ANACLETUS

    Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  3. Dizasta Vina

    SoC01 Biashara ya kuuza Matumaini

    HITAJI LA MATUMAINI LINAMEA Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo magonjwa sugu kama Ukimwi, Kisukari, Kansa na Kifua kikuu dawa ambayo kwa mujibu wa maelezo yake...
  4. N

    Mayele aipa ushindi Yanga, matumaini kibaoooni shangwe kubwa kwa wana Yanga

    Ni katika mchezo wa kujiandaa na klabu bingwa afrika dhidi ya washindi wenzao wa pili wa ligi ya Nigeria rivers utd ambapo Yanga ilishinda goli moja dhidi ya timu ngumu kabisa ya kihistoria iitwayo Pan african Matokeo hayo yamezidi kuwapa matumaini wapenzi wa yanga ambayo juzi pia iliifunga...
  5. M

    Utawala wa Samia: Siku 100 za Matumaini na zilizobaki za giza

    Kuna fikra miongoni mwa wananchi kuwa siku 100 za mwanzo za utawala rais Samia alikuwa akisikiliza ushauri wa wazee hasa raisi Kikwete ndiyo maana kulikuwa na uvumilivu wa kisiasa ndani ya kipindi hicho kifupi, uonevu ulipungua, kesi za kubambikiza zikafutwa n. k Wananchi wanasema kuwa baada ya...
  6. M

    James Mbatia: Rais Samia mwanzo alitoa tumaini, sasa hivi mambo yanavurugika

    ======== Mtangazaji: Wewe umeuonaje mpka sasa uongozi wa Mama Samia Suluhu Hassan? James Mbatia: Ndugu Samia Suluhu Hssan aliingia madarakani ile tarehe 19/03/2021 na akala kiapo kwa taratibu ambazo zimeweka na akatoa ahadi ambazo tuliamini kwamba atazitekeleza na akatoa ahadi ya kukuza...
  7. Cannabis

    Matumaini kibao tozo mpya za simu, wanawake waziunga mkono, wamtaka waziri asonge mbele bila kutetereshwa

    Wadau mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wajasiriamali, wamepongeza tozo mpya katika mitandao ya simu na mafuta zilizopitishwa mwaka wa fedha 2021/2022. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema tozo hizo zitachochea ukuaji wa uchumi hasa katika maeneo ya vijijini. Walisema tozo hizo...
  8. Erythrocyte

    Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1

    Tulifahamu tangu awali kwamba ccm ni ile ile , ila kuna tofauti kidogo kati ya viongozi wanaopewa Mamlaka na Chama hicho , kiongozi mwenye exposure hutofautiana kidogo uungwana na kiongozi wa kutoka porini , tofauti ipo ya namna ya kuhandle issues , kujua wapi aongee nini na wapi atishie watu...
  9. Doctor Mama Amon

    Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Taifa: Kutoka Hofu na Mashaka Hadi Furaha na Matumaini

    Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26. Wakati...
  10. Ugumu wangu

    Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

    Member wa JamiiForums wote nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo aliekufa msalabani kwa ajili ya uovu wangu. Leo nimependa kushare kidogo kuhusu historia ya maisha yangu inaweza kuwa funzo kwa mwingine pia. Mara baada ya kumaliza darasa la Saba katika shule moja ya msingi mkoa wa Singida dc...
  11. Erythrocyte

    Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
  12. L

    Ongezeko la uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya mwaka 2021 laleta matumaini ya kufufuka kwa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa mwanzoni mwa wiki hii na Idara ya forodha ya China zinaonyesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu hadi kufikia mwezi Mei, uchumi wa China uliendelea kupata ongezeko, ambapo uuzaji bidhaa kwa nchi za nje ulikuwa na ongezeko la asilimia 30.1, na uagizaji wa bidhaa...
Back
Top Bottom