Kampuni ya Arise (AR) inayotayarisha filamu na yenye makao yake mjini Mombasa Kenya, imepata fursa ya kipekee ya kusaini mkataba wa kuandaa filamu inayoitwa NIA, ambayo inarushwa kupitia kituo cha runinga cha Rembo, kinachomilikiwa na kampuni ya StarTimes.
Akizungumza na CRI Kiswahili, Derrick...