Habarini wanajamvi.
Ukitaka kujua matumizi/bajeti yako kwa mwezi fanya hivi.
Chukua matumizi yako yoote unayotumia kila siku/kwa mwezi then uyagawe kwa siku 30.
Mfano unalipa
1. Kifurushi cha Tv 20k per month
2. Umeme 20k per month
3. Maji 20k per month
4. Maemezi ya chakula (hapa unatakiwa...