Wengi hawajui matumizi yao kwa mwezi ni kiasi gani

Wengi hawajui matumizi yao kwa mwezi ni kiasi gani

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,933
Reaction score
1,179
Habarini wanajamvi.

Ukitaka kujua matumizi/bajeti yako kwa mwezi fanya hivi.

Chukua matumizi yako yoote unayotumia kila siku/kwa mwezi then uyagawe kwa siku 30.

Mfano unalipa
1. Kifurushi cha Tv 20k per month
2. Umeme 20k per month
3. Maji 20k per month
4. Maemezi ya chakula (hapa unatakiwa ujue sukari, mafuta, mchele, unga, chumvi, gas/mkaa, mboga vinatumikaje kwa mwezi so lazma ufanye tracking)
5. Matumizi mengine kama sabuni, dawa za meno n.k. vinatumikaje pia kwa mwezi
6. Transport kwa mwezi
7. Matumizi binafsi like refresments, communication bills, n.k.
8. Matumizi ya ziada, like pesabkwa wazazi, wadogo zako, michango mbalimbali n.k.
9. Kodi ya pango (kama umepanga)

So kupitia hivyo vitu, mfano kama kifurushi cha tv ni 20k, basi kigawanye kwa 30 ili kupata gharama yake kwa siku the fanya hivyo for the rest of all ur utilities the uzijumlishe zote ili kupata matumizi yako kwa siku/week/mwezi.


Hii itakusaidia sasa ku match na kipato chako cha siku, week au mwezi ili ujue upo juu ya kipato chako au chini.

Hii itakupa direction ya maisha yako kiuchumi
 
Back
Top Bottom