Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma .
Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais...
Katibu Tawala Wilaya ya Arusha Jacobo Rombo amefikishwa mbele ya baraza la Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi.
Baraza hilo lililoketi leo Machi 28,2025 Jijini Dodoma na kuongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Bi. Rose Teemba na Wakili wa serikali...
Kama kweli Serikali inanunua magari mpya (brand new); kuna ulazima wa kutumia kiasi chote hicho kununua magari kila mwaka; wakati gari jipya lina warranty ya miaka mitano.
IRINGA - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Emanuel Sigachuma, na Ofisa Elimu Sekondari wa halmashauri hiyo, Nelson Milanzi, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili na kuwafikisha mahakamani. Wawili hao, pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.