Kama kweli Serikali inanunua magari mpya (brand new); kuna ulazima wa kutumia kiasi chote hicho kununua magari kila mwaka; wakati gari jipya lina warranty ya miaka mitano.
IRINGA - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Emanuel Sigachuma, na Ofisa Elimu Sekondari wa halmashauri hiyo, Nelson Milanzi, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili na kuwafikisha mahakamani. Wawili hao, pamoja...